Fred Ngajiro aka Fred Vunjabei ni nani huyu jamaa?!

Balanced diet.
Si makande cheiiii
Makande ni bora kuliko sembe. Labda hujui tu kuyapika.

Mimi hakuna chakula ninachokipenda kama Ugali, dagaa, samaki, kande, maziwa, viazi.

Na mimi ni mgumu mnoo kujaribu vyakula vipya.

Nikivyokuja Dar, nilifosi kujaribu Uduvi, na sausages zikanishinda.

Balanced diet kwetu waswahili siyo laxima uipate kupitia the same meal.

Asubuhi tutakula maziwa viazi, mchana ugali nyama au samaki, usiku, wali maharage.

Matunda tunakula mitaani huko tukiwa kwenye mishemishe.
 
Chawa
Fred kasema/kamuaminisha nani kuwa ana pesa

Simjui, je wewe unamjua Elon Musk maarufu, anajionesha, hakauki mtandaoni na ndio tajiri mkubwa kuliko huyo takataka wa Pepsi.
Chawa kama chawa
 
Nina jamaa yangu mmoja, yeye ni muha wa Kigoma hukoooo, yaani ana Chagaphobia hadi anakeraa
 
Fred ana hela wewe.
Tajiri kijana.
Alisikika chawa mmoja akisema
Ukishaona mtu anawapa watu hela za pombe wamuite tajiri ujue ni mshamba na limbukeni.

Kuna maduka kibao makubwa ya nguo hatuoni wamiliki wakifanya utoto wa kuita camera kuzungukwa na machawa eti una brand duka. anapenda usupastaa huyo mkinga anatumia nguvu kubwa
 
Yaani nikae kabisa nijue kupika makande [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Ila hongera bana.
 
Vunja bei kama vunja bei tajiri kijana kabisaaaaa anatembea na dollar.
Watu tunaenjoyyyyyyy (In Aristote's voice)
 
Yaani nikae kabisa nijue kupika makande [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Ila hongera bana.
Wewe unajua kupika nini ??

Au ndio urojo 🤣
 
Reactions: amu
Pesa ikiwepo na elimu ikiwepo haziwezi kukatika.

Vunja bei kama vunja.
Kijana tajiriiiiiiiiii.

Ila instagram kuna upumbavu mwingi sana jana hilo bonge na Aristote wanakisifia kitanda cha vunja bei.

Yaani ukiwa chawa lazima ujitoe fahamu.
Mwanaume kusifia kitanda cha mwanaume mwenzio,hapo kuna walakini........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…