amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
Balanced diet.Utajiri ni kula nini ?
Si makande cheiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Balanced diet.Utajiri ni kula nini ?
Makande ni bora kuliko sembe. Labda hujui tu kuyapika.Balanced diet.
Si makande cheiiii
Usiniambie mkuu? Hivi vya makaratasi vinalipa?Ana biashara yake ya mifuko.
Na biashara inahela hiyo.
Lile linalojiita 'big_too much money"🤣 ??Katika machawa wa Fredi kuna lile bonge mie aisee huwa simuelewagi
Chawa kama chawaFred kasema/kamuaminisha nani kuwa ana pesa
Simjui, je wewe unamjua Elon Musk maarufu, anajionesha, hakauki mtandaoni na ndio tajiri mkubwa kuliko huyo takataka wa Pepsi.
Nina jamaa yangu mmoja, yeye ni muha wa Kigoma hukoooo, yaani ana Chagaphobia hadi anakeraaHumu kumejaa watoto wapumbavu tu, useless.
Huwezi kumkuta mtu mwenye akili zake timamu anakomalia huu upuuzi wa kikabila.
Vunjabei ni mkinga ila marafiki zake wakubwa ni wachagga kina Frank Knows, Whozu etc ndio wanaofanya nao biashara.
Kwahiyo hivi vichuki vya kikabila huwa ni vya masikini, hohehae useless tu wasiojua hata kesho kutapambazuka viipi.
Ukishaona mtu anawapa watu hela za pombe wamuite tajiri ujue ni mshamba na limbukeni.Fred ana hela wewe.
Tajiri kijana.
Alisikika chawa mmoja akisema
Anauza kwa bulk hata faida ikiwa 50 kwa moja still anamake pesa nzuri tu.Usiniambie mkuu? Hivi vya makaratasi vinalipa?
Yaani nikae kabisa nijue kupika makande [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Makande ni bora kuliko sembe. Labda hujui tu kuyapika.
Mimi hakuna chakula ninachokipenda kama Ugali, dagaa, samaki, kande, maziwa, viazi.
Na mimi ni mgumu mnoo kujaribu vyakula vipya.
Nikivyokuja Dar, nilifosi kujaribu Uduvi, na sausages zikanishinda.
Balanced diet kwetu waswahili siyo laxima uipate kupitia the same meal.
Asubuhi tutakula maziwa viazi, mchana ugali nyama au samaki, usiku, wali maharage.
Matunda tunakula mitaani huko tukiwa kwenye mishemishe.
Vunja bei kama vunja bei tajiri kijana kabisaaaaa anatembea na dollar.Ukishaona mtu anawapa watu hela za pombe wamuite tajiri ujue ni mshamba na limbukeni.
Kuna maduka kibao makubwa ya nguo hatuoni wamiliki wakifanya utoto wa kuita camera kuzungukwa na machawa eti una brand duka. anapenda usupastaa huyo mkinga anatumia nguvu kubwa
Zikikata mnamkimbia.........nyinyi wanawake nyinyi...Mungu anawaona.Vunja bei kama vunja bei tajiri kijana kabisaaaaa anatembea na dollar.
Watu tunaenjoyyyyyyy (In Aristote's voice)
Ni vya Aina gani?Anauza kwa bulk hata faida ikiwa 50 kwa moja still anamake pesa nzuri tu.
Wewe unajua kupika nini ??Yaani nikae kabisa nijue kupika makande [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Ila hongera bana.
Mifuko ya kawaida tu ile ya sokoni.Ni vya Aina gani?
Pesa ikiwepo na elimu ikiwepo haziwezi kukatika.Zikikata mnamkimbia.........nyinyi wanawake nyinyi...Mungu anawaona.
Mwanaume kusifia kitanda cha mwanaume mwenzio,hapo kuna walakini........Pesa ikiwepo na elimu ikiwepo haziwezi kukatika.
Vunja bei kama vunja.
Kijana tajiriiiiiiiiii.
Ila instagram kuna upumbavu mwingi sana jana hilo bonge na Aristote wanakisifia kitanda cha vunja bei.
Yaani ukiwa chawa lazima ujitoe fahamu.
Daaah kweliMifuko ya kawaida tu ile ya sokoni.