Fred Ngajiro aka Fred Vunjabei ni nani huyu jamaa?!

Wengi wao wakinga wana utajiri ila wanakula vibaya sana.
 
Sina exposure yoyote mpendwa ila kwa umri wangu kula vibaya ni kula kwa kutozingatia kanuni za afya. Jambo ambalo wakinga hawafanyi
Mimi nimeishi nao,hao wakinga wenye fedha,kula ugali na mboga ya majani chukuchuku kila siku kwao sio shida.Na tena unakuta mtu ni tajiri sana wala hana changamoto ya kiafya anawalisha watoto wake makande kila baada ya siku moja,wali na nyanya chungu.Kagoogle vema maana ya balanced diet.
Huwezi kuwa unakula wanga na protein kila siku ukauita mlo bora.Nyama,maziwa,butter,kuku,mayai,vyakula vya kuokwa navyo pia ni vyakula.Ulaji wake sio dhambi.
 

hahaha[emoji23] wabena
 
Hao watu unaowazungumzia ni wa wapi mbona mimi sijawaona?
 
Kuhusu Hilo la ngada ninauhakika nalo Kuna mshkaji wangu kafukuzwa China na atakiwi kuingia huko kwasababu yake.. aliekuwa nyoka wake
Ni suala la muda tu kila kitu kitafahamika.


Tuwe wavumilivu.


Naomba mtunze hii comment yangu.
 
Maafisa vipenyo acheni tabia za umalaya na threads zenu. Kwani hii mnayoita awamu ya yule chief wenu mtu kuwa tajiri ni kosa?? Basi mpelekeni mahakamani kwanini anauza nguo za china kuwa tajirii!! Once insane always twink...
 
Utajiri wa wa hilo kabila huwa siukubali kabisa maana ni kawaida kumuona wa mafanikio kabisa wa hilo kabila ila anakula Kande.
Hapo kwenye ulaji ndio sababu ya wengi wenye mafanikio kuishia kuugua Kisukari, Presha na FIGO sababu ya kubadili mtindo wa maisha. Kande siyo chakula?
 
Hapo kwenye ulaji ndio sababu ya wengi wenye mafanikio kuishia kuugua Kisukari, Presha na FIGO sababu ya kubadili mtindo wa maisha. Kande siyo chakula?
Wananishangaza hawa the so called great thinkers
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…