Fred Ngajiro vs Sheria Ngowi?

Mleta uzi we mwenyewe hujui ulicho andika, yani ni kama unafananisha Puma, Nike, Addidas n.k na Designer(mbunifu) fulani, huyo Fred ni CEO wa VB halafu huyo mwingine ni mbunifu aliyepewa kazi na GSM ndomana hakuna jina lake kwenye yale manyokanyoka... Aise yani apo inatakiwakua battle kati ya VB vs GSM kama kampuni na sio huo utopolo ulioleta hapa....
 
Aliyedesign haya matracksuit ashike adabu yake. Halafu ni Haier au Ha ier?

 
Vunja bei tunaweza mwita ni customer orientation kama sijakosea at the sametime ni profit oriented
 
Ukitizama kwa umakini jezi za Yanga ni ubunifu wa Mavazi ya kike, kuanzia shingo zake za round hadi marembo rembo meeengi
 
Hiyo between the lines ya maandiko yake ndiyo imenikumbusha fact kuwa ni Simba ndiye alianzisha uzinduzi wa jezi na kuipa thamani jezi ya timu. Halafu eti leo kuna watu wanataka kuja kuifundisha mambo ya jezi.
Ni kama Yanga ilivyo anza alafu nyie mkaja leo mnataka kujifanya wajuaji!
 
Kweli mkuu hata kifedha hawafanani, Sheria ana pesa balaa huyu fured ni hamna kitu.
NB: nimetumia akili zangu za usiku
 
Yanga kuna vilaza wengi sana angalia na wajinga wenzake wamejazana kusapoti ujinga wa mtoa mada. Aibu mimi naona
 
Jezi haichezi mpira.
Watu wanataka Kombe La Africa.

Haya mashindano ya jezi ni UTOTO.



MASIKINI TANZANIA YANGU.
Jezi ndio pesa inapopatikana, high quality mwishoni itashinda tuu, Club zote kubwa duniani swala la jersey ni muhimu sana na wanalinda kama lulu
 
Sheria ni mbunifu wa mitindo ya nguo, Fred ni mfanyabiashara tu. Ungelijua hilo usingehangaika kuandika huu mgazeti wako. Fred anaangalia faida kwanza. Wakati Sheria anawaza faida na ujiko.
Ulichoandika na kinachojadiliwa tofaut yake NI nini?
 
Mambo ya jezi za Yanga huzungumza SHERIA NGOWI, na mambo ya jezi za Simba huzungumza Fred Ngajiro
 
Nafikiri vunja bei inabidi aseme mbunifu wake ni nani kama alivyofanya gsm
Hapo sawa , bila hivyo inaonekana anabuni yeye kutokana na ubunifu wa kiwango cha Chini wengi tunaamin hivyo
 
Embu linganisha tracksuit hizi mbili uniambie ipi ni ubunifu classic. Hii mitandao ubaya wake haujui unabishana na watu wa aina gani.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…