Fred Ngajiro vs Sheria Ngowi?

Fred Ngajiro vs Sheria Ngowi?

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
Ifike mahali Watanzania tusitake kufananisha utam wa sukari na chumvi wala bei zake

Namaanisha nini?

SHERIA NGOWI anafahamika Kwa kila mtu kuwa ni mbunifu wa mavazi, Yes SHERIA kubuni mavazi ndio maisha yake, hivyo anachokifanya pale Yanga ni kuyaishi maisha yake na kuendeleza kipaji chake.

Wakati huohuo hakuna asiyemjua Fred Ngajiro (Vunjabei), Fred ni mfanyabiashara maarufu wa nguo za bei rahisi. Fred si mbunifu wa mavazi (Hana kipaji hicho ) Fred ni mfanyabiashara anayelenga kupata FAIDA Kwa kuuza nguo za quality ndogo Kwa bei ndogo pia (Kuvunja bei).

MADUKA mengi ya Fred suruali zinapatikana kwa elfu 18 za kitanzania, ni nguo ambazo quality yake ni ndogo na Fred havai hizo.

Haitatokea Abadan Sheria NGOWI akanunua nguo kwenye Maduka ya Fred lakin Fred bila shaka ashavaa sana nguo zilizopita mikonon mwa SHERIA NGOWI (Hii si kwa sababu za kibiashara Bali Ubora).

Imani yangu ni kwamba tegemea kuona Yanga wakiwa na jezi zenye ubora wa juu na bei ya juu ilihali tutegemee kuona Simba wakiwa na jezi zenye ubora mdogo na bei ndogo.

Si sahihi kumshindanisha SHERIA NGOWI na Fred Ngajiro kwenye mambo ya mavazi. SHERIA NGOWI anabuni yeye wakati Fred yupo pale Kama dalali Tu na Hana ajualo kuhusu ubunifu labda UGANGA.
 
SHERIA NGOWI anafahamika Kwa kila mtu kuwa ni mbunifu wa mavazi ,, Yes SHERIA kubuni mavazi ndio maisha yake , hivyo anachokifanya pale Yanga ni kuyaishi maisha yake na kuendeleza kipaji chake.

Wakati huohuo hakuna asiyemjua Fred Ngajiro ( Vunjabei) .. Fred ni mfanyabiashara maarufu wa nguo za bei rahisi ,,. Fred si mbunifu wa mavazi ( Hana kipaji hicho ) Fred ni mfanyabiashara anayelenga kupata FAIDA Kwa kuuza nguo za quality ndogo Kwa bei ndogo pia (Kuvunja bei)

MADUKA mengi ya Fred suruali zinapatikana Kwa elfu 18 za kitanzania , ni nguo ambazo quality yake ni ndogo na Fred havai hizo ,,

Haitatokea Abadan Sheria NGOWI akanunua nguo kwenye Maduka ya Fred lakin Fred bila Shaka ashavaa Sana nguo zilizopita mikonon mwa SHERIA NGOWI ( Hii si Kwa sababu za kibiashara Bali Ubora)

Imani yangu ni kwamba tegemea kuona Yanga wakiwa na jezi zenye ubora wa juu na bei ya juu ilihali tutegemee kuona Simba wakiwa na jezi zenye ubora mdogo na bei ndogo.

Si sahihi Kumshindanisha SHERIA NGOWI na Fred Ngajiro kwenye Mambo ya mavazi. SHERIA NGOWI anabuni yeye wakati Fred yupo pale Kama dalali Tu na Hana ajualo kuhusu ubunifu labda UGANGA
Dada unapenda vibaya wewe,haya basi olewa na Sheria Ngowi tumalize huu ubishi wa kitoto.
 
Ifike mahali Watanzania tusitake kufananisha utam wa sukari na chumvi wala bei zake

Namaanisha nini?

SHERIA NGOWI anafahamika Kwa kila mtu kuwa ni mbunifu wa mavazi, Yes SHERIA kubuni mavazi ndio maisha yake, hivyo anachokifanya pale Yanga ni kuyaishi maisha yake na kuendeleza kipaji chake.

Wakati huohuo hakuna asiyemjua Fred Ngajiro (Vunjabei), Fred ni mfanyabiashara maarufu wa nguo za bei rahisi. Fred si mbunifu wa mavazi (Hana kipaji hicho ) Fred ni mfanyabiashara anayelenga kupata FAIDA Kwa kuuza nguo za quality ndogo Kwa bei ndogo pia (Kuvunja bei).

MADUKA mengi ya Fred suruali zinapatikana kwa elfu 18 za kitanzania, ni nguo ambazo quality yake ni ndogo na Fred havai hizo.

Haitatokea Abadan Sheria NGOWI akanunua nguo kwenye Maduka ya Fred lakin Fred bila shaka ashavaa sana nguo zilizopita mikonon mwa SHERIA NGOWI (Hii si kwa sababu za kibiashara Bali Ubora).

Imani yangu ni kwamba tegemea kuona Yanga wakiwa na jezi zenye ubora wa juu na bei ya juu ilihali tutegemee kuona Simba wakiwa na jezi zenye ubora mdogo na bei ndogo.

Si sahihi kumshindanisha SHERIA NGOWI na Fred Ngajiro kwenye mambo ya mavazi. SHERIA NGOWI anabuni yeye wakati Fred yupo pale Kama dalali Tu na Hana ajualo kuhusu ubunifu labda UGANGA.
Kwamba Sheria anatengeneza jezi mwenyewe au!!??
Nnachojua Sheria ni mbunifu tu (muundo na muonekano) lkn issue ya ubora (uimara) wa jezi hutokana na dau lako kwa watengenezaji.
 
Ifike mahali Watanzania tusitake kufananisha utam wa sukari na chumvi wala bei zake

Namaanisha nini?

SHERIA NGOWI anafahamika Kwa kila mtu kuwa ni mbunifu wa mavazi, Yes SHERIA kubuni mavazi ndio maisha yake, hivyo anachokifanya pale Yanga ni kuyaishi maisha yake na kuendeleza kipaji chake.

Wakati huohuo hakuna asiyemjua Fred Ngajiro (Vunjabei), Fred ni mfanyabiashara maarufu wa nguo za bei rahisi. Fred si mbunifu wa mavazi (Hana kipaji hicho ) Fred ni mfanyabiashara anayelenga kupata FAIDA Kwa kuuza nguo za quality ndogo Kwa bei ndogo pia (Kuvunja bei).

MADUKA mengi ya Fred suruali zinapatikana kwa elfu 18 za kitanzania, ni nguo ambazo quality yake ni ndogo na Fred havai hizo.

Haitatokea Abadan Sheria NGOWI akanunua nguo kwenye Maduka ya Fred lakin Fred bila shaka ashavaa sana nguo zilizopita mikonon mwa SHERIA NGOWI (Hii si kwa sababu za kibiashara Bali Ubora).

Imani yangu ni kwamba tegemea kuona Yanga wakiwa na jezi zenye ubora wa juu na bei ya juu ilihali tutegemee kuona Simba wakiwa na jezi zenye ubora mdogo na bei ndogo.

Si sahihi kumshindanisha SHERIA NGOWI na Fred Ngajiro kwenye mambo ya mavazi. SHERIA NGOWI anabuni yeye wakati Fred yupo pale Kama dalali Tu na Hana ajualo kuhusu ubunifu labda UGANGA.
Bado haujaenda na ulichokiandika.Fred anauza ila habuni.Kwa nini umuwekee maneno mdomoni?Je,ikitokea ameletewa nguo zenye ubora na bei rahisi utajielezaje?
 
Wote wachuuzi kwamba huko china wote wanapeleka sample...Huyo ngowi kwamba ana kiwanda sio ?

Kwamba wale china wanaprint jersey bila kupewa sample? Watajuaje sasa.

Bongo hakuna anayepanga anamtengenezea wote wachuuzi... Quality inategemea na pesa yao wakati wa kutoa deal kwa watengenezaji kama Bei ni ndogo basi watapewa size wanayostahili...Hata wakitaka jersey moja iwe quality kwa design ile ile inawezakana ila itauzwa hata laki mbili ili kufidia na kupata faida juu.
 
IMG_1189.jpg

Hivi umeona balaa la hawa johsport kwanza kabla ya kufika kwa Sheria Ngowi
 
Back
Top Bottom