SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Toka Simba ameondoka pale JKNIA nimehesabu nyuzi walizovaa 6 tofauti ukijumuisha na tracksuit 1, umenisikia vizuri JEZI SITA na TRACKSUIT MOJA ambazo zote watu wananong'onezana tu huko zilivyo kali. Kweli watanzania nimewaogopa. Sifieni basi kwa nguvu ile ile mliyokuwa mnaponda, au mnajifanya hamuoni?