Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
I salute you kinsmen
Binafsi namuon Fred Ngoma kama kiungo namba 8 zaidi kuliko namba 6
Anapenda kucheza bila kugongana wala rafu
Ana jicho la kusambaza pasi kwa upendo na zinafika kwa wakati zaidi.
Anawazidi viungo wengi kama mudathir kwenye swala la passing
Tatizo muda ana workrate kubwa sana hahitaji maelekezo mengi
Just mpe jezi anaingia kukiwasha.
Muda na max ni versatile player sitoshangaa wakicheza na Duke abuya that day as usual
Lakini iwapo ngoma atapata nafasi hata kama ni dakika ya 60 basi kuna namna simba wataumia, jamaa anapiga sana pasi kali kali kitu ambacho yule Mo doumbia alikuwa nacho sana sijui kwanini alifeli yanga
Now doumbia yupo kwa mkopo huko basi Ngoma anaweza kufanya kazi hiyo kikamilifu
Asanteni