Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Mfanyabiashara?Ndugu zangu Watanzania ,
Habari ndio hiyo ya kuwa Mfanyabiashara Vunjabei ameibuka kinara katika kura za maoni za kumtafuta mrithi wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Isimani, Lukuvi, huku akiongoza katika kata nyingi zilizopigwa kura.
Kwa mujibu wa matokeo ya awali, Vunjabei ameonyesha nguvu kubwa ya ushindani akiwazidi wapinzani wake katika maeneo mengi ya jimbo hilo la Iringa.
Matokeo kwa mujibu wa kata:
1. Kata ya Ilolo Mpya
Mhe. Mtatifikolo β 147
Vunjabei β 110
Festo β 71
2. Kata ya Itunundu
Vunjabei β 190
Kiswaga β 28
Arifu β 14
Mhe. Mtatifikolo β 12
3. Kata ya Idodi
Vunjabei β 226
Mhe. Mtatifikolo β 200
4. Kata ya Kihorogota
Vunjabei β 170
Kiswaga β 84
Mhe. Mtatifikolo β 74
5. Kata ya Mlenge
Vunjabei β 255
Kiswaga β 100
Mhe. Mtatifikolo β 31
6. Kata ya Izazi
Vunjabei β 181
Kiswaga β 41
Mtatifikolo β 15
7. Kata ya Mboliboli
Vunjabei β 119
Mhe. Mtatifikolo β 33
Kiswaga β 22
8. Kata ya Malenga Makali
Vunjabei β 216
Kiswaga β 116
Mhe. Mtatifikolo β 17
9. Kata ya Kisingβa
Vunjabei β 287
Kiswaga β 24
Mhe. Mtatifikolo β 5
Kwa ujumla, mwenendo wa kura unaonesha Vunjabei kuwa mbele kwa tofauti kubwa katika kata nyingi, hali inayomuweka katika nafasi nzuri ya kuwania uteuzi wa kugombea ubunge wa Jimbo la Isimani.
Matokeo kamili yanatarajiwa kuthibitishwa rasmi na chama cha CCM baada ya kukamilika kwa mchakato mzima wa kura za maoni
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Wazenge wenzio hukohuko, nikuokotee mawe?Ndugu zangu Watanzania ,

Ndio mfanyabiashara na mdhamini wa Simba Miaka michache iliyopitaMfanyabiashara?
Ni kweli yupo vizuri sana kichwani na yupo vizuri sana katika kujenga Hoja.Vunja Bei yupo smart sana natamani awe Mbunge hata kama atakuwa Ccm .
Mwamba gani tena.Kwn si nasikia mwamba yupo ikoje mbn sioni jina lake?
Ndiyo anawauzia midosho huko πNdio mfanyabiashara na mdhamini wa Simba Miaka michache iliyopita
Embu andika ueleweke dogo.Ndiyo anawauzia midosho huko π
Ova
Wewe ndio mwizi. CCM ni ndio tumaini la watanzaniaCCM NI UKOO WA PANYA WOTE WEZI
Kwani wapi hapo pameandikwa Chawa.Uchawa kazi sana aisee! π
AsasMwamba gani tena.
Duh aise,yaani we ndiyo mdogo wangu ujuweEmbu andika ueleweke dogo.