900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
heri mimi sijakopa,mliokopeshwa na HESLB lipeni madeni, wakati mnakula hako ka-boom na vitotoz mjini sisi wala mihogo mnatuona mafala, tena utungwe mswada kabisa namna ya kufanyiwa monitoring baada ya kumaliza vyuo hata kama mko mitaani hakuna kazi.lipa deniMfanyabiasha tajiri Fred Fabian Ngajiro (Vunjabei) amememaliza Mkopo wa elimu ya juu.
Fred anasema wale wote wanaodaiwa mkopo na Bodi ya Mikopo, kuitikia wito wa (HESLB) wanaotaka ulipe mkopo wako unaodaiwa ili uweze kuwanufaisha vijana wengine wanao anza chuo.
Na tuliojiajiri tunakumbushwa kulipa mkopo tuliopewa na bodi ya mikopo.
Je, una mpango wa kulipa mkopo ukiwa bado hauna ajira?
View attachment 2559799