Fred Vunjabei amaliza deni la mkopo chuo (HESLB)

Fred Vunjabei amaliza deni la mkopo chuo (HESLB)

Mfanyabiasha tajiri Fred Fabian Ngajiro (Vunjabei) amememaliza Mkopo wa elimu ya juu.

Fred anasema wale wote wanaodaiwa mkopo na Bodi ya Mikopo, kuitikia wito wa (HESLB) wanaotaka ulipe mkopo wako unaodaiwa ili uweze kuwanufaisha vijana wengine wanao anza chuo.

Na tuliojiajiri tunakumbushwa kulipa mkopo tuliopewa na bodi ya mikopo.

Je, una mpango wa kulipa mkopo ukiwa bado hauna ajira?

View attachment 2559799

Nafikiri swala la msingi hapa ni;
Alistahili kupata mkopo wa Chuo na kuwaacha watoto wa maskini wakibakia bila mkopo???
Na kama hakustahili, wajue watu wanavyo lalamika kuwa, kuna mapungufu kwenye mfumo wa kuchuja wanufika wa kupewa mikopo ya Elimu ya juu ni kweli; hivyo wizara ipitie upya taratibu zake ili watu wa jamii hiyo wasiendelee kuwanyima masikini fursa.....
 
Hiyo hela naisotea mbaya aisee ndo mana nasemaje ntadai mpk warudishe.
Mkuu ni binti yangu wa pekee yaani nimempiga msasa sana kabla na kumwambia ntakuhonga chochote mi babaako.
Suprise kaleta mtoto[emoji56]
Yaani[emoji2357]

Si bora hata huyo kamaliza na chuo wengine hata shule au chuo hajamaliza wanabeba mimba
Sasa anaish na jamaa yake au ?
 
Unazingua kweli, ungemuozesha mapema akaenda kusoma akiwa n mme wake. Wala usingefika kulalamika huku.
Ilo moja.
Pili, kwan hajagraduate ???
Kama umemsomesha na amemaliz sasa makasiriko ya nini ?
Sizingui chochote, ni binti yangu nimesamehe Sasa namwangalia tu.
Kwamba kinachofuata nini.?
Ulezi si lelemama nimejaribu kutengeneza misingi bora na risala kibao imeshindikana.
Sasa tuone maendeleo.
Ni tayari singomaza na mtu wake haeleweki
 
Mfanyabiasha tajiri Fred Fabian Ngajiro (Vunjabei) amememaliza Mkopo wa elimu ya juu.

Fred anasema wale wote wanaodaiwa mkopo na Bodi ya Mikopo, kuitikia wito wa (HESLB) wanaotaka ulipe mkopo wako unaodaiwa ili uweze kuwanufaisha vijana wengine wanao anza chuo.

Na tuliojiajiri tunakumbushwa kulipa mkopo tuliopewa na bodi ya mikopo.

Je, una mpango wa kulipa mkopo ukiwa bado hauna ajira?

View attachment 2559799
kama kwa mti mbichi kama yeye miaka yote hiyo anadaiwa hadi leo ndo anakamilisha hako ka mkopo je habari gani kwa miti mikavu huku mitaani
 
Haeleweki huyo bwa mdogo ndo mana nikasema mi ntadai changu watalipa wote watatu,
Kwasababu uhuni si tumejiuzulu tu

Ahaa nakuelewa watoto wakike kujibebesha mimba utafikiri tulitumwa mimba na mtu Ndio haeleweki sasa
 
Wao walisomeshwa bure, kwanini sisi tulipishwe?! Wakinijibu hili swali nitalipa, otherwise wanipeleke mahakamani, na huko nawashinda haraka sana!

Halafu huyo aliyeandika barua ni taahira flani hivi, hajui hata maana ya ‘Liquidate’.., hawa watu sijui wanaajiriwa kwa kuokotwa kwenye jalala lipi, total rubbish! Yaani kulipa deni ni ku- ‘Liquidate’ .., sasa mataahira kama haya mdio unakuta tunayaamini yanaenda kusaini mamikataba ya kimataifa huko mwishowe yanatuuza bila hata kujua, kumbe shida ni vilaza..., total garbage!
Oyaaaa umeua🤣🤣🤣
 
Nimejiuliza sana aisee kazi ipo yani kila siku huwa nasema hizi barua wanazichukua tu zilishakuwa composed na tahira mmoja hana akili wanazibandika majina ya watu na anwani zao halafu wanaweka amount then wanaprint, hawazisomi, hii nchii ina ufala mwingi sana mzee wangu...
Ndicho kinachofanyika Mkuu.

Ofisi nyingi za haya mataasisi, wanabarua zipo, ni mwendo wa kuedit tu
 
Back
Top Bottom