Wao walisomeshwa bure, kwanini sisi tulipishwe?! Wakinijibu hili swali nitalipa, otherwise wanipeleke mahakamani, na huko nawashinda haraka sana!
Halafu huyo aliyeandika barua ni taahira flani hivi, hajui hata maana ya ‘Liquidate’.., hawa watu sijui wanaajiriwa kwa kuokotwa kwenye jalala lipi, total rubbish! Yaani kulipa deni ni ku- ‘Liquidate’ .., sasa mataahira kama haya mdio unakuta tunayaamini yanaenda kusaini mamikataba ya kimataifa huko mwishowe yanatuuza bila hata kujua, kumbe shida ni vilaza..., total garbage!