Ni jambo jema sana.Mfanyabiasha tajiri Fred Fabian Ngajiro (Vunjabei) amememaliza Mkopo wa elimu ya juu.
Fred anasema wale wote wanaodaiwa mkopo na Bodi ya Mikopo, kuitikia wito wa (HESLB) wanaotaka ulipe mkopo wako unaodaiwa ili uweze kuwanufaisha vijana wengine wanao anza chuo.
Na tuliojiajiri tunakumbushwa kulipa mkopo tuliopewa na bodi ya mikopo.
Je, una mpango wa kulipa mkopo ukiwa bado hauna ajira?
View attachment 2559799
Kwa vile ulikuwa nazo. Wasingekuja Kwa duka sidhani kama ungemaliza.
Anyway wewe unazi, Kuna wengine wamemaliza miaka na hawana kitu unaingia sana sana ni ya kula.
Sasa ulitaraji mwendesha bodaboda aweze kulipa deni Hilo! Wahitimu wengi wako kwenye hii ajira ya kimasikini ya bodaboda! Mengi yanakuja!