Katumbasongwe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 1,017
- 1,138
Hata Bsc. Education inafikia milioni 18, Kama ulipewa 100%Daaah ulisomea civil engineering nn [emoji2962] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Bsc. Education inafikia milioni 18, Kama ulipewa 100%Daaah ulisomea civil engineering nn [emoji2962] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii ni chuma ulete duuuh 🤔Hata Bsc. Education inafikia milioni 18, Kama ulipewa 100%
Hana lolote Mnafiki huyo.Kwa vyovyote iwavyo ameonesha mfano wa kuigwa...
Halafu ukute hiyo elimu hana pia😅😅😅😅.Boya kweli kweliJesu daaaah unaishije sasa mkuuu 🤔
Elimu hana au hajanufaika nayo yaani kazi hana pia duuh hii kitu ni biashara kweli 🤣🤣🤣🤣Halafu ukute hiyo elimu hana pia😅😅😅😅.Boya kweli kweli
Hamna manufaa yaani kapigwa za uso, 🤣🤣🤣🤣Elimu hana au hajanufaika nayo yaani kazi hana pia duuh hii kitu ni biashara kweli 🤣🤣🤣🤣
Itakuwa alisomea u secretary ambayo ipo replaced na chatgpt au kukata tiketi za ndege ambayo ipo replaced mtandaoni daah asee kuna course za ajabu sana mkuu acha tu 😟😟 mi mpaka kuna watu nawaoneaga huruma aseee 😬😬😬Hamna manufaa yaani kapigwa za uso, 🤣🤣🤣🤣
Hivi elimu mkopo unadaiwa mpk leo mil 10+ ina maana huna kazi wewe.
Sasa ulisoma ili iweje?🤷♂️
😂😂😂😂😂😂, ujinga mwingi sana.Itakuwa alisomea u secretary ambayo ipo replaced na chatgpt au kukata tiketi za ndege ambayo ipo replaced mtandaoni daah asee kuna course za ajabu sana mkuu acha tu 😟😟 mi mpaka kuna watu nawaoneaga huruma aseee 😬😬😬
Ndo maana wazeee wengi wanakufa na pressure mi ninge mngoa macho au jino loooh kamaliza lini mkuu alisomea course gani kwani 🤔😬😂😂😂😂😂😂, ujinga mwingi sana.
Nimelipa Mil kadhaa kwa binti yangu asome ndo kamaliza nasubiri matokeo kaenda kuzalishwa k****e zake namdai ye na mamaake
Mjinga sana huyu mtoto, alifaulu second selection ualimu, kapangiwa kijijini huko kakataa ikabidi tutafute plan B.Ndo wazeee wanakufa na pressure mi ninge mngoa macho au jino loooh kamaliza lini mkuu alisomea course gani kwani 🤔😬
Murife dont run murife keep running loooh asee parakwingi 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃Mjinga sana huyu mtoto, alifaulu second selection ualimu, kapangiwa kijijini huko kakataa ikabidi tutafute plan B.
Sijui kasema kariakoo hapo apige kozi hiyo secretary,
Lipa hela yote sio mkopo.
Kamaliza kapigwa mimba 🙆♂️.
Mi ntadai hela yangu mpk naingia kaburini😅😅😅
Ulilipa shs ngapi mkuu 😒Mjinga sana huyu mtoto, alifaulu second selection ualimu, kapangiwa kijijini huko kakataa ikabidi tutafute plan B.
Sijui kasema kariakoo hapo apige kozi hiyo secretary,
Lipa hela yote sio mkopo.
Kamaliza kapigwa mimba 🙆♂️.
Mi ntadai hela yangu mpk naingia kaburini😅😅😅
Debt liquidation refers to the process of paying off or settling all outstanding debts of an individual, company, or organization. It involves the conversion of assets into cash or selling off assets to generate funds that can be used to repay debts. Debt liquidation is often used as a last resort option when a borrower is unable to meet their debt obligations through other means, such as debt restructuring or debt consolidation. It is important to note that debt liquidation may have negative consequences for the borrower, such as a negative impact on their credit score and the potential loss of assetsWao walisomeshwa bure, kwanini sisi tulipishwe?! Wakinijibu hili swali nitalipa, otherwise wanipeleke mahakamani, na huko nawashinda haraka sana!
Halafu huyo aliyeandika barua ni taahira flani hivi, hajui hata maana ya ‘Liquidate’.., hawa watu sijui wanaajiriwa kwa kuokotwa kwenye jalala lipi, total rubbish! Yaani kulipa deni ni ku- ‘Liquidate’ .., sasa mataahira kama haya mdio unakuta tunayaamini yanaenda kusaini mamikataba ya kimataifa huko mwishowe yanatuuza bila hata kujua, kumbe shida ni vilaza..., total garbage!
Nakwambia nayeye mchaga vitoto vya migo hivi.Murife dont run murife keep running loooh asee parakwingi 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
Umeliwa mkuuu umeliwa secretary daaah aseee pole yako mkuu na mimba juuu tena usikute yeye na mamaake wanaita sijui yale maneno yao shogaangu sijui nn 🤮🤢🤢
Daah 🤣🤣🤣🤣 acha nicheke tu
Hela yenyewe inatafutwa kwa taabu alafu mtu anapigwa mimba kabisa 😹😒😒😤😤
Kwani huyo binti haishi kwako mkuuNakwambia nayeye mchaga vitoto vya migo hivi.
Ila huyo bwege atanipa changu tu mpk sasa najua alipo tu najuzi nimemtengenezea mazingira kajaa ntakutana nae nimpe bili yake tu,akishindwa ndo atanijua mi nani
Mil hizo wanasema vunjabei kalipa leo.Ulilipa shs ngapi mkuu 😒
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.Mil hizo wanasema vunjabei kalipa leo.
Hiyo hela naisotea mbaya aisee ndo mana nasemaje ntadai mpk warudishe.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Yesu wangu lakini kama ww ni fogo. Au upo uchumi wa kati sio mbaya ila kama ni masikini umekwisha mkuu 😒 😬😬
😟😟😟😭 Najaribu kuvaa viatu vyako lakini havinitoshi duuh 🤯Hiyo hela naisotea mbaya aisee ndo mana nasemaje ntadai mpk warudishe.
Mkuu ni binti yangu wa pekee yaani nimempiga msasa sana kabla na kumwambia ntakuhonga chochote mi babaako.
Suprise kaleta mtoto😇
Yaani🤦♂️