900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
heri mimi sijakopa,mliokopeshwa na HESLB lipeni madeni, wakati mnakula hako ka-boom na vitotoz mjini sisi wala mihogo mnatuona mafala, tena utungwe mswada kabisa namna ya kufanyiwa monitoring baada ya kumaliza vyuo hata kama mko mitaani hakuna kazi.lipa deniMfanyabiasha tajiri Fred Fabian Ngajiro (Vunjabei) amememaliza Mkopo wa elimu ya juu.
Fred anasema wale wote wanaodaiwa mkopo na Bodi ya Mikopo, kuitikia wito wa (HESLB) wanaotaka ulipe mkopo wako unaodaiwa ili uweze kuwanufaisha vijana wengine wanao anza chuo.
Na tuliojiajiri tunakumbushwa kulipa mkopo tuliopewa na bodi ya mikopo.
Je, una mpango wa kulipa mkopo ukiwa bado hauna ajira?
View attachment 2559799
Me ninadaiwa 20+M nikiwalipa nakuwa Ashura, Niko paleeeee.Mfanyabiasha tajiri Fred Fabian Ngajiro (Vunjabei) amememaliza Mkopo wa elimu ya juu.
Fred anasema wale wote wanaodaiwa mkopo na Bodi ya Mikopo, kuitikia wito wa (HESLB) wanaotaka ulipe mkopo wako unaodaiwa ili uweze kuwanufaisha vijana wengine wanao anza chuo.
Na tuliojiajiri tunakumbushwa kulipa mkopo tuliopewa na bodi ya mikopo.
Je, una mpango wa kulipa mkopo ukiwa bado hauna ajira?
View attachment 2559799
Hiyo ndo nakaza sasa ajifunzeUkimlea lea kwa kumpa sana pesa atabeba nyingine tena mkazie kidogo ajifunze
Si atajua baba yupo anapenda wajukuu atalea tu atatupeleka wapi ikibidi unampa laki ya mtaji aoneHiyo ndo nakaza sasa ajifunze
Hizo anazo mpk sasa, dejane last nimemwambia nakukopesha sikupi maana za mtaji shampa.Si atajua baba yupo anapenda wajukuu atalea tu atatupeleka wapi ikibidi unampa laki ya mtaji aone
Mi hawa wangu nishawaambia sitaki wajukuu na siwez lea wajukuu sina muda atakaejifanya kuweza aondoke
Hapo sawa mkazieeHizo anazo mpk sasa, dejane last nimemwambia nakukopesha sikupi maana za mtaji shampa.
Toka december hajarudisha.
Mimi M23+ nadaiwaMe nadaiwa Mil.11+
Kwenye hiyo barua, aliye ambiwa ameliquidate ni nani?ku liquidate ni ku convert asset into cash, labda walitaka kumaanisha wameconvert debt into asset(cash).
Hongera mamiiHahahah kumbe nimemzid tajir eeh,hamna mie nilichukua bachelor ya science ndio bei zao ziko juu ukichanganya hela za field, stationary,practical training lazima hela iwe ndefu,enzi za magu ilikuwa nadaiwa 21 M ,maza alipokuja akatoa tozo ndo nikashuka hadi 13m,ambayo nimemalizana nao January mwaka huu.
Hivi wote wanaimaliza kulipa huwa wanatumia hii barua?Mfanyabiasha tajiri Fred Fabian Ngajiro (Vunjabei) amememaliza Mkopo wa elimu ya juu.
Fred anasema wale wote wanaodaiwa mkopo na Bodi ya Mikopo, kuitikia wito wa (HESLB) wanaotaka ulipe mkopo wako unaodaiwa ili uweze kuwanufaisha vijana wengine wanao anza chuo.
Na tuliojiajiri tunakumbushwa kulipa mkopo tuliopewa na bodi ya mikopo.
Je, una mpango wa kulipa mkopo ukiwa bado hauna ajira?
View attachment 2559799
DAAAH NI HATARI SANAA... kosa alilofanya mtu miaka kumi ilopita linadumu milele... ujue ni hatari mkuuNdicho kinachofanyika Mkuu.
Ofisi nyingi za haya mataasisi, wanabarua zipo, ni mwendo wa kuedit tu