Fred Vunjabei ni haya haya Mapenzi ambayo nasi tunawapa Mademu zetu au Mwenzetu unampa ya ziada divathebawse hadi anakupenda kwa Kukufuru?

Nilidhani mjanja kuwazidi wakinga wanzake, lkn kwa hili aisee amedhihirisha mjini bado sana, watoto wakali wamejaa ameendaje ku fall kwa lile gumegume....? Dunia haiishi maajabu!
Anachotaka ni kutokauka midomoni mwa watu, kama hivi mmemuanzishia thread kwake hiyo ni win, publicity iwe positive au negative ni publicity tu na ndicho anacholenga.
Na kwa huyo kicheche mapepe ndiyo atapata publicity/promo ya kufa mtu, mlugaluga anataka awe anazungumzwa daily kama wasanii(A list).
 
Mumeo huyo au?
 
Furaha ni kwasababu ya 💰 🤑 💸 🤣
 
Hivi huko daslamu hakunaga mademu wapya?? Ni kazi ya kuzungukia wale wale wanuka mawigi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…