Fred Vunjabei ni haya haya Mapenzi ambayo nasi tunawapa Mademu zetu au Mwenzetu unampa ya ziada divathebawse hadi anakupenda kwa Kukufuru?

Fred Vunjabei ni haya haya Mapenzi ambayo nasi tunawapa Mademu zetu au Mwenzetu unampa ya ziada divathebawse hadi anakupenda kwa Kukufuru?

Nilidhani mjanja kuwazidi wakinga wanzake, lkn kwa hili aisee amedhihirisha mjini bado sana, watoto wakali wamejaa ameendaje ku fall kwa lile gumegume....? Dunia haiishi maajabu!
Anachotaka ni kutokauka midomoni mwa watu, kama hivi mmemuanzishia thread kwake hiyo ni win, publicity iwe positive au negative ni publicity tu na ndicho anacholenga.
Na kwa huyo kicheche mapepe ndiyo atapata publicity/promo ya kufa mtu, mlugaluga anataka awe anazungumzwa daily kama wasanii(A list).
 
Mumeo huyo au?
 
@divatheebawse amefunguka kuhusu penzi lake na @fred_vunjabei na kuweka wazi swala la kuzaa wote watoto wa tano.

Mbali na hivyo pia anasema kwa sasa ana furaha zaidi kuwa kwenye penzi zito na Fred Vunjabei kwani kabla ya hapo hakuwahi kuwa na furaha kama aliyokuwa nayo kwa sasa.

Ameyazungumza haya wakati anatambulishwa kuwa balozi mpya wa #LuhaTravel

Chanzo Taarifa: manaratv

Manake kwa jinsi alivyokusifia huku akiwaponda Wanaume zake wote wasio na Idadi waliomtia nahisi kuna la ziada.
Furaha ni kwasababu ya 💰 🤑 💸 🤣
 
Hivi huko daslamu hakunaga mademu wapya?? Ni kazi ya kuzungukia wale wale wanuka mawigi...
 
Back
Top Bottom