Freddy Michael a.k.a Funga Funga

Hizi ni facts za Kisayansi...

Simba haijafeli....badala yake imepanda kutoka nafasi ya 7 Afrika mpaka 5 Afrika.

Fred Funga Funga ni ingizo La Dirisha dogo...mpaka muda huu tunavyoongea mashindano yote ana mabao 10 katika Mechi Kubwa na Ndogo....Hapo wangekuwa Waingereza Wangesema..'What a Striker'...!

Kufeli kwa Simba kupo midomoni Mwa wana Utopolo tu...!
 
Nyie chawa kina Kisugu pumbafu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…