muheza2007
JF-Expert Member
- Mar 19, 2010
- 483
- 771
Hata mimi ndivyo nilivyosikia, wacha tusubiri tarehe 08/04/2010 tusikie na upande mwingine wa shilingi na kisha wananchi tuamue.Nasikia vikao vya juu ndani ya chama vilishapitisha kuwa jamaa atemwe. Ameamua kuwa-pre-empty
Kutofautiana na CCM ni hatua moja kubwa kwa watz kujiletea maendeleo. Kitendo cha Mpendazoe kutoka CCM katika nafasi yake ni hatua kubwa zaidi katika mchakato wa kuwaletea maendeleo watanzania. Kujiunga CCJ huo ni uamuzi wake nauheshimu.
ni kweli kahama ccm, ila kiukweli ni njama za ccm kutaka kuua upinzani ndiyo maana wameanzisha chama cha ccj ilikitumike kama kivuli kuua nguvu ya upizani haswa chadema, ndiyo madhumuni ya chama hicho hamnalolote watanzania ccj siyo chama chaukweli bali ni chama kile kile cha ccm, hizo ni mbinu watanzania msidanganyikehii ni kweli katangaza rasmi anahamia ccj na wengine watamfuata nyie subilini.
Marupurupu yake atayapata tuu maana nadhani katangaza nia yake ya kujiunga CCJ hivyo haki yake ya ubunge bado anayo.
Sizitaki mbichi hizihuu ni kati ya uamuzi mmbaya kabisa kuwahi kuona maishani mwangu, habari za yeye kuondoka alianza kuwaambia watu wake wa karibu mwezi fenruary siku chache tu baada ya CCM kuadhimisha miaka 33 ya kuzaliwa kwake. alishajadiliwa mara kadhaa na chama hakikuona tishio lolote la ushindi kama angeamua kutelkeleza mpango yake hiyo. kuna wakati inanfika unaona mwenyewe kuwa huwezi siasa za CCM na mh. mpendazote ndio kaona wakati huo ndio huu. tunamtakia kila la heri. lakini wapinzani wasitarajie lolote la maana kutokana na ujio wake. ccj hawatashiriki uchaguzi huu na chadema hawataweza kuongeza ushindi wao kwa kiasi kikubwa hivyo mwisho wa uamuzi kama huu ni kama ule wa augustine mrema.
kila la heri
Bongolander una uhakika na unayosema Mpendazoe alitetea mafisadi?Nimeanza kuwa na wasiwasi kuhusu CCJ, is it becoming kapu la makapi? Is this Fred Mpendazoe aliyetetea mafisadi kwa nguvu zote, au nimesahau? CCJ ni chama ambacho mtu yoyote anaweza kujiunga bila hata kujua msimamo wa mtu huyo ukoje?
ni kweli kahama ccm, ila kiukweli ni njama za ccm kutaka kuua upinzani ndiyo maana wameanzisha chama cha ccj ilikitumike kama kivuli kuua nguvu ya upizani haswa chadema, ndiyo madhumuni ya chama hicho hamnalolote watanzania ccj siyo chama chaukweli bali ni chama kile kile cha ccm, hizo ni mbinu watanzania msidanganyike
Bonge la shoo. Mwaka huu shoo kibao, kombe la dunia nalo limo, CCJ nao wamo, CCM sisi tumo, Mpendazoe naye yumo. Burudani kweli kweli.
Unatenganisha vipi nia na kuwa mwanachama? Mwache Fred aonyeshe njia. Nadhani ile dharura ya vikao vya CC na NEC ya CCM ilitokana na hili pia.
Jamani, tusimlaumu Marehemu Mwl, Nyerere kwa kumuachia Mkapa madaraka. Kwa wakati ule, Mkapa kweli alikuwa clean lakini ujinga wote wa wizi aliufanya baada ya Nyerere kufariki dunia. Ujinga wote alioufanya Mkapa akiwa madarakani aliufanya katika kipindi chake cha pili cha oungozi, wakati huo Nyerere hatukuwa naye tena!!!
Tiba