Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,172
Hayo ya akina Njelu kasaka ndio yamewapa watu funzo. Ukiona wanachukua hatua kama hizi basi ujue kuwa wameshafikiria hayo yote na kujua wafanye nini. I dont tnk that Mpendazoe is such a fool kuchukua uamuzi ambao utamuumiza. labda kama maamuzi haya anayachukua kwa shinikizo fulani maana hawa ndugu ztu huwezi kujua njama zao zoteHuyu anachemka tu, akawaulize akina Njelu Kasaka, think before you leap!
Kachemsha.
Pamoja mkubwa. Mkapa wa kipindi cha Nyerere siyo yule wa miaka mitano ya mwisho. Hata hii sisiemu ilikuwa imekwishaanza kufanya ujinga ndiyo maana Mwalimu aliamua kutundika madaruga (Kurudi Butiama) Tunahitaji mabadiliko, whether Fred atakuwa mamluki (Of which sidhani ni sahihi kutokana na msimamo wake kwa kipindi nilichosikia hoja zake) or atakuwa na dhamira ya kweli, kile kitendo cha kunyoosha kidole na kusema no, enough is enough inatosha kuonyesha njia kwa watu wenye dhamira ya kweli. Mambo ya Chama chajenga nchi yametufikisha pabaya sana. Nchi inajengwa na sisi wenyewe Watanzania na inatafunwa na chama..By the way naona correlation kati ya fund rising ya uchaguzi huu 40 Billion na ile iliyokwapuliwa BOT kipindi kile kwa kutumia kampuni ya kastuli ambayo hadi leo haiguswi. Hapa chama kilijenga nini na hiyo 40 Billion zaidi ya kubomoa nchi?Bravo Fred.
bado shoo lingine ni kupigana chini kwenye kura za maoni ,,,,hahaaaaa.........ngoja niweke order ya pop corn pale mlimani city for the coming 6 months
Take it. Hivi tunavyoandika hapa ndio naambiwa amemaliza press conference akimaliza kueleza hayo maamuzi yake.
Kama wabunge na vigogo wengine wanasoma JF, nadhani watapata nguvu ya kuchukua uamuzi kama wa Fred. jitokezeni, hakuna cha kuogopa tena.
Umenena HH. Ingawa karibu 97% ya wanaJF wanasupport hatua ya ujasiri wa Mpendazoe, asilimia kubwa ya Watanzania, hasa wale wa vijijini walio chini la blanketi la umasikini bado wanasapoti CCM. Uduni wa hali yao unasababishwa na utashi wa CCM ili waendelee daima dumu kukisapoti na kukiona ndiyo mkombozi, hasa wakati wa uchaguzi wanapojisikia wametajirika kwa TShirt (bila bottoms).
CCM wanajua fika kwamba hawa wakianza tu kupata maendeleo, hasa elimu, basi wamekwisha!
Kama wabunge na vigogo wengine wanasoma JF, nadhani watapata nguvu ya kuchukua uamuzi kama wa Fred. jitokezeni, hakuna cha kuogopa tena.
uchaguzi umeahirishwa na sheikh yahya.???!!! au Mwenzetu unajua ambalo sisi wengine hatujui?
Umenena HH. Ingawa karibu 97% ya wanaJF wanasupport hatua ya ujasiri wa Mpendazoe, asilimia kubwa ya Watanzania, hasa wale wa vijijini walio chini la blanketi la umasikini bado wanasapoti CCM. Uduni wa hali yao unasababishwa na utashi wa CCM ili waendelee daima dumu kukisapoti na kukiona ndiyo mkombozi, hasa wakati wa uchaguzi wanapojisikia wametajirika kwa TShirt (bila bottoms).
CCM wanajua fika kwamba hawa wakianza tu kupata maendeleo, hasa elimu, basi wamekwisha!
Ndiyo hayo wanayodai "Kupima upepo" hao wapimaji upepo kama watachelewa basi sina imani nao kwasababu "there is a difference btn doing the right thing vs the thing right"
Kama ni kweli wana uzalendo basi wanatakiwa wafanye whats right and not neccessarily whats popular.....
Inaweza kuwa its unpopular kujitoa ccm,wengine wanakuja na mifano ya kina Mrema.
Na wale wenye mwelekeo wa mawazo ya kifisadi watatoa sababu pia,na wengine wanafananisha na kina Njelu Kasaka et al.
However this time around ni tofauti sana....Mpendazoe keshaanza na kama kuna wenye nia hiyo wafanye sasa kwani wakichelewa watakuja kuwaponza wale wenye nia nzuri na chama hicho cha ccj,wenye kuweka uzalendo mbele na si wenye kufuata whats popular,watu kama kina Mpendazoe,kwani hawaoni tayari amegain exctra credit machoni pa wengi wetu kwa kuamua kuachana na mafao yake ya ubunge?Kwa tabia za wengi wetu watanzania,hilo tu ni la kumpongeza.
Wengine wakiwa hawaamini kabisa kwamba ameyaacha mafao yake ya miezi kadhaa,na pia wanajiuliza kwanini kafanya hivyo!?Hapo utashangazwa na wengi wetu wanavyofikiri....Yani kuna mashabiki wa maslahi binafsi wazi wazi kabisa hata hapa JF,inawezekana mafisadi tumo nao humu ndani....Haiwezekani ujiulize eti kwanini kayaacha mafao yake ya miezi kadhaa bila kujiuliza kama alichofanya yani kuhama ccm ni kwa maslahi binafsi ama ya wananchi!