Frederick Sumaye: Magufuli anatekeleza sera za CHADEMA

Frederick Sumaye: Magufuli anatekeleza sera za CHADEMA

Hivi kuna mtanzania anashauku ya kusikia Sumaye anasemaje kama akikaa kimya?
 
Ukiwa na uwezo mzuri wa kufikiri huwezi kuwa mfuasi wa chadema
 
Ni haki yake kutumia sera za CHADEMA japokuwa siyo kama vile ambavyo wangeweza kuzitumia CHADEMA wenyewee kama wangefanikiwa kuongoza nchi, kwa kuwa hakujiandaa kuwa Rais,hata sera ambazo angeweza kuzitumia alikuwa haja ziandaa.

Sera za CCM nazo hataki kuzitumia kwa kuwa hazina faida kwa mwananchi na aliikataa CCM tangia kipindi cha uchaguzi baada ya CCM kupoteza mvuto na kuwataka wananchi wamchague yeye na siyo ccm mpaka sasa serekali ni ya Magufuli na siyo ya CCM.
Umeandika pumba tupu sasa kama serikali ni ya magufuli katumia chama gani kuingia ikulu? Unaweza kuwa raisi bila chama?
 
Umeandika pumba tupu sasa kama serikali ni ya magufuli katumia chama gani kuingia ikulu? Unaweza kuwa raisi bila chama?
Hilo swali kamuulize Magufuli aliyesema chagua Magufuli na ambaye anasema serekali ni yake,kama ni pumba kama unavyoamini wewe zilianzia hapo badala ya kusema serekali ya CCM inaitwa serekali ya mtu .
 
Tatizo uliandika bila kujua unaandika nini eti serikali ya magufuli aligombea kupitia chama cha magufuli? Wanatekeleza ilani ya magufuli?

Tatizo mnachukua maneno ya porojo mnakuja nayo huku hizo ni kauli zake magufuli ni mtumishi mtiifu wa ccm hizo zingine ni mbwembwe tu katiba ya nchi ipo wazi utagombea kupitia chama hakuna mahali pameandikwa mgombea binafsi anaruhusiwa na ndio maana mkapa kamwambia juha mwenzio aache huo upuuzi.
 
Sumaye, alikiri waziwazi akiwepo Lowassa mkutanoni kuwa, wananchi walichagua Rais mzuri.
Mzee unaleta story za TBT? Alianza Vizuri hadi Twaweza akala Banda A+ 96% ila kashaharibu anakimbilia kwenye D sasa,Je ukimuuliza sasa Mh. Sumaye atatoa hayo majibu? Ulimsikia mazungumzo yake walivyoaalikwa "Mjengoni"?
 
Tatizo mnachukua maneno ya porojo
Tatizo mnachukua maneno ya porojo mnakuja nayo huku hizo ni kauli zake magufuli ni mtumishi mtiifu wa ccm hizo zingine ni mbwembwe tu katiba ya nchi ipo wazi utagombea kupitia chama hakuna mahali pameandikwa mgombea binafsi anaruhusiwa na ndio maana mkapa kamwambia **** mwenzio aache huo upuuzi.
Ninachokijua ni kwamba mh Magufuli ni Rais,anachokisema kwa kinywa chake anasema kama Rais mwenye akili timamu, hayo mengine ya kumuona Rais kama ni mtu anayeweza akatoa porojo na mbwembwe na kwamba Mkapa alimwambia aache huo upuuzi hayo ni ya kwenu wenyewe mtajuana hukohuko.
 
Utakuwa mtu mzima mwenye busara na hekima

Wana fosi leo tuiite serikali ya ccm na wakati kampeni zenyewe hazikuhusisha ccm.

In fact wengi tuliompigia kura magufuli tulifuata kauli zake za serikali ya magufuli kwani tuliowengi ccm ilikwisha tuchosha.

Mkumbushe tu huyo jamaa ya kuwa
Haone tathimini ya utekelezaji wa irani ya ccm imefabywa na mkuu wa mkoa??

Ingefika pahala mkajua ya kuwa ccm kama chama cha siasa kimekwisha chokwa, mpaka kina wafuasi kwa kuwa hata vyama vya upinzani navyo ccm iliamua kuvidhoofisha.

''Serikali yangu haitamvumilia anaharibu hapa na kuhamishiwa pale nitamalizana naye pale pale"

Muulize hiyo kauli aliisikia au lah??
 
Ipo daladala moja imeandikwa maneno ONDOKA WAKUSEME. JPM ameondoka na ameondoka kabisa na kutoa nafasi ya kusemwa. Jambo moja ninalolilkumbuka ni CHADEMA kusema kuwa JPM alikuwa anaongoza kwa kuiga sera zao. Leo nao wamejitenga na matokeo ya utekelezaji wa sera zao. Wanadamu kazi
 
Lakini ameshakufa na hawezi kurudi tena.

Sio wewe mataga pekee uliyeumia.

Ni wengi vumilia maumivu yataisha tu.
 
Nyumbu wataiangalia hii posti kama wanavyo angalia mamba mto mara.
 
Lakini ameshakufa na hawezi kurudi tena.

Sio wewe mataga pekee uliyeumia.

Ni wengi vumilia maumivu yataisha tu.
Hongera kwa vile yeye ni wa kwanza na wa mwisho kufa
 
Hongera kwa vile yeye ni wa kwanza na wa mwisho kufa
Mlivyotaka kumuongezea muda atawale milele mlijua hakuna kufa?

Ndo hivyo tena kashakufa hakuna namna atarudi aje kuwafariji mataga mliobaki ukiwa.

Kubaliana na hiyo hali.
 
Back
Top Bottom