Frederick Sumaye Waziri mkuu mstaafu yupo wapi?

Frederick Sumaye Waziri mkuu mstaafu yupo wapi?

neno ni upanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2022
Posts
494
Reaction score
1,656
Habari wakuu?

Naomba kujua tofauti waziri wakuu wasitaafu wengine kuonekana kwenye shughuli mbalimbali za serikali na hupewa heshima kubwa!

Sijawahi kumuona mh sumaye akiwepo kwenye shughuli hizo kama waziri mkuu msitaafu! Tofauti na wengine!

Hii imekaaje? Na yupo wapi?
 
Very simple question mkuu....
Kwakua umeuliza yupo wapi.... minaona Itakua yupo kimya
 
Habari wakuu?? Naomba kujua tofauti waziri wakuu wasitaafu wengine kuonekana kwenye shughuli mbalimbali za serikali na hupewa heshima kubwa! Sijawahi kumuona mh sumaye akiwepo kwenye shughuli hizo kama waziri mkuu msitaafu! Tofauti na wengine!

Hii imekaaje?? Na yupo wapi??
yupo hanang 🐒
 
Kashaua Legacy huyo kitendo cha yeye Leo Ccm Mara chadema .
 
Back
Top Bottom