FREDRICK AGEUKA NYOKA

FREDRICK AGEUKA NYOKA

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hapana jaman nisimulie tu tatizo bundle si unajua vyuma vimekaza
Kuna kazee kasanii kanamsema kanamshitaki afisa ardhi kwa Lukuvi, kanamwita nyoka na maneno kibao ya kuchekesha
 
Nimecheka sana.

Huyu mzee alikuwa anahitaji kubadilishiwa kitu kwenye hati yake na afisa ardhi wa wilaya ya Misungwi. Huu ni mwaka wa tatu na bado hajabadilishiwa.

Afisa ardhi anaitwa Fredrick Nyoka, ndiyo maana huyu mzee anasema Nyoka kawa nyoka kweli.
 
Back
Top Bottom