Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu fungua video kuna kazee kachekesha sanaSijaangalia. Ni nani huyo?
Unaogopa?Aliyeangalia aniambie jaman
Hapana jaman nisimulie tu tatizo bundle si unajua vyuma vimekazaUnaogopa?
Cha kusimuliwa sio kitamu Shunie
Kuna kazee kasanii kanamsema kanamshitaki afisa ardhi kwa Lukuvi, kanamwita nyoka na maneno kibao ya kuchekeshaHapana jaman nisimulie tu tatizo bundle si unajua vyuma vimekaza
Asante sana jaman nikajua amegeuzwa nyoka kweliKuna kazee kasanii kanamsema kanamshitaki afisa ardhi kwa Lukuvi, kanamwita nyoka na maneno kibao ya kuchekesha