Ngwanakilala
JF-Expert Member
- Jun 25, 2011
- 774
- 1,464
- Thread starter
- #21
Kipindi cha nyuma (kwenye 2007) nilikuwa nasomaga nakala za viongozi wa zamani ktk gazeti la Mwananchi yaani karibia maisha yao yanafanana watu wa kawaida sana na kweli walikiwa wazalendo haswa.
Ni kweli
Watu waliofanya kazi na Nyerere kama mzee Sozigwa, Mzee Kaduma, Mzee Nyakirang'ani nk walikua waadilifu sana