Fredrick Mchauru - Mtanzania wa kwanza kupata scholarship atimiza miaka 100. Alikuwa Katibu Mkuu katika Serikali ya Awamu ya Kwanza ya Tanganyika

Fredrick Mchauru - Mtanzania wa kwanza kupata scholarship atimiza miaka 100. Alikuwa Katibu Mkuu katika Serikali ya Awamu ya Kwanza ya Tanganyika

Ndio kijiji hiko ndiko familia yake ilikotoka

Pia Geita Gold Mines kuna either Library au Lunch room iitwayo Mchauru Library kwa ukumbusho wake

Mzee ni Nyerere type ndio maana sio bilionea na ndio maana hajulikani. Hakuiba hata shillingi na anafurahia hilo sana sana. Anasema hajawai kua na tamaa ya mali wala utajiri bali yeye alipenda utumishi wa umma tu
Kwa kumbukumbu zangu kama sijakosea ni kwamba Mchauru iko Newala na sio Masasi. Kuna kijiji huko Newala niliwahi kufika nikakutana na mtu anaitwa jina hilo pia. Mzee Mchauru Chinga wa kwanza kufika Ulaya. Nimtakie Maisha marefu zaid na Kheri Za MwenyeziMungu
 
Absolutely

Anaandika kitabu sasa kwa msaada wa wajukuu zake

FaNTASTIC! Wajukuu wajitahidi wafanye hima kitabu kimalizike kwani siku hizi muda si rafiki. Mwenyezi MUNGU amzidishie umri ili wananchi wapate nafasi ya kuyajua ya huko nyuma!!!
 
FaNTASTIC! Wajukuu wajitahidi wafanye hima kitabu kimalizike kwani siku hizi muda si rafiki. Mwenyezi MUNGU amzidishie umri ili wananchi wapate nafasi ya kuyajua ya huko nyuma!!!

Asante sana boss

Wajukuu tutajitahidi kukimbia wakati wengine wanatembea ili kitabu kitoke mwaka huu - we must run while they walk
 
Happy birthday babu Frederick Mchauru, historia imesheheni mambo mengi WWII, Polish refugee camp Tengeru Kwanini Tanzania hatuna majengo ya kifahari, minara, na makumbusho zinazotambulika duniani? - JamiiForums , Chou Enlai, serikali ya mkoloni, Polisi kuvaa kaptura, mabalozi kina Kalaghe, Ustawi wa Jamii, utumishi uliotukuka kwa Tanganyika na Tanzania, uzalendo wa kweli wa hawa mababu wastaafu n.k shukrani kwa Ngwanakilala kwa kuiweka habari hii hapa JamiiForums.


When the Polish were refugees in Africa
03.06.2019
48993144_101.jpg


Thousands of Europeans sought sanctuary in Africa during World War II — among them were many Polish people. A Canadian filmmaker explores the journey of his Polish forefathers in a documentary.
When Canadian Jonathan Durand traveled to Africa for the first time as a 20-year-old, he experienced a strange sense of being at home, an odd feeling for a young white man.

It took a while for Durand to understand why Africa seemed so familiar to him.

During and after World War II, his Polish grandmother Kazia Gerech had lived in a refugee camp in what is present-day Tanzania — the stories of her childhood near the foot of Mount Kilimanjaro had burned into his soul.

"When your Polish grandmother says that she has gone on safari on Africa's highest mountain, that inspires a child's imagination," he told DW.

As a history student, he was surprised about the lack of information about Poles seeking sanctuary in Africa — his professor had never heard of Polish refugee camps on the continent.

"That's when I started my research," recalls Durand.

His grandmother's testimonies about her life in the small town of Tengeru in northern Tanzania motivated the filmmaker to embark on an emotionally charged nine-year journey that took him to Eastern Europe, the Middle East, and Africa.

The resulting film, "Memory is our Homeland," won the Audience Award at the Montreal International Film Festival in 2019.

'Friendly co-existence'

48993158_102.jpg


Kazia Gerech (standing in the doorway) in front of the hut where her family lived in Tanzania in 1946.
From 1942 to 1949, Gerech lived with her siblings and parents in a simple thatched hut in Tengeru in what was then the British-administered territory of Tanganyika (now Tanzania).

During his travels to the former Polish refugee camps in South Africa, Tanzania and Zambia, Durand said that local people "had good memories of the Poles," who farmed and sent their children to school.

"It was often their first contact with whites," he told DW.

The Polish refugees also have a positive memory of the locals, says Durand. "They were young, and these intercultural encounters have shaped their humanity."

Migration expert Julia Devlin agrees with Durand's findings. "It was a friendly existence, side by side," she told DW. Locals from Tengeru and the Poles even sometimes celebrated mass together, said Devlin, the head of the Center for Flight and Migration at Germany's Catholic University of Eichstätt-Ingolstadt.

From Poland, over Russia and Iran, to Africa

The Polish migration to Africa has its roots in an event from August 1939. That was when Adolf Hitler and Joseph Stalin signed a non-aggression pact that divided several eastern European countries, including Poland, into German and Soviet spheres of interest.

48993128_101.jpg


Although exact figures are difficult to come by, it's thought at least 19,000 Polish refugees, including many children, spent WWII in Africa.
With a few days, Germany invaded Poland, triggering World War II.

Within a few weeks, the Soviets invaded Poland from the east. Like the Nazis in the west of the country, the Soviet Union began to carry out ethnic cleansing. They deported hundreds of thousands of Poles, including many Jews, in four waves to forced labor camps in remote Russian regions such as Siberia and Kazakhstan.

In 1941, the tables were turned when Germany invaded the Soviet Union, forcing Russia to join the Allies.

It triggered an amnesty for the Poles in the USSR. Unable to return to war-torn Poland, some 116,000 Poles living in the Soviet Union were evacuated to Iran, which had been invaded by the Anglo-Soviet alliance.

But Iran proved unable to care for such large numbers of refugees, causing the British government to move Polish civilians to other British colonies.

It was by this circuitous route that the Polish deportees arrived in Tanzania, South Africa, Zimbabwe and other parts of British Africa to see out the rest of WWII.

Finding his grandmother as a young girl

After the end of WWII in September 1945, the African host countries pushed to get rid of the Polish refugees.

48993114_101.jpg


Polish cemetery in Tanzania
"African countries were on their way to independence and didn't want reminders of colonial rule," said Devlin.

But Poles were reluctant to return to their homeland, which was under staunch Soviet control. Eventually, they migrated mostly to Australia, Canada, and Great Britain.

Durand's grandmother made it to England in 1949. There she met her husband, a Pole and a survivor of the Majdanek concentration camp. Together, they immigrated to Canada.

Of all the research Durand undertook, one discovery made a great impression.

At the Polish Institute in London, he found the only existing film footage from the Tanzanian refugee camp where his grandmother had lived.

"I recognized the hospital and a group of young girls walking toward the camera. On the left, smiling and with her arms crossed — that was my grandmother," says Durand. He still gets goose bumps when he looks at the footage today.

Martina Schwikowski

Memories of WWII refugees live on in Tanzania
Memories of WWII refugees live on in Tanzania ARUSHA – On the fringes of a small Tanzanian village called Tengeru lie buried 150 Polish war refugees of more than 5,000 who made it to Tanganyika, who did their best to make a life there. The Third Reich invaded Polish territory on September 1, 1939 without declaration. It was the beginning Kwanini Tanzania hatuna majengo ya kifahari, minara, na makumbusho zinazotambulika duniani? - JamiiForums
 
Happy birthday babu Frederick Mchauru, historia imesheheni mambo mengi WWII, Polish refugee camp Tengeru, Chou Enlai, serikali ya mkoloni, Polisi kuvaa kaptura, mabalozi kina Kalaghe, Ustawi wa Jamii, uzalendo wa kweli wa hawa mababu wastaafu n.k shukrani kwa Ngwanakilala kwa kuiweka habari hii hapa JamiiForums.

Tuko pamoja chief

Ngoja tumalizie kitabu ili watu wapate kusome vizuri historia hii pevu
 
Tuko pamoja chief

Ngoja tumalizie kitabu ili watu wapate kusome vizuri historia hii pevu

Mfanye haraka na kumsaidia babu yetu kitabu kiwe ktk shelf za library Tanzania na kimataifa. So far umefanya jambo jema ku - share this rare moment in time pamoja na wanaJamiiForums.
 
Mzee Mohamed said sio mbaya ukamtafuta na huyu mzee akupe kabrasha zake kuhusu mapambano ya Uhuru na akina general sarakikya

Sio kila siku unaleta masimulizi ya akina shekh Nani sijui wa msikiti wa kwa mtoro.

U have to balance the stories

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakika akienda kumuona ataweza ku balance the story
 
Mzee Mohamed said sio mbaya ukamtafuta na huyu mzee akupe kabrasha zake kuhusu mapambano ya Uhuru na akina general sarakikya

Sheikh Mohamed Said ebu jitahidi huu mwezi mtukufu wa Ramadhani ukajaribu kutenga muda kumtafuta mzee Mchauru hapo Upanga na kufanya nae mazungumzo ya kuweka sawa sehemu ya historia ya nchi; hazina kama hizi ni adimu sana.
 
Ni kweli

Watu waliofanya kazi na Nyerere kama mzee Sozigwa, Mzee Kaduma, Mzee Nyakirang'ani nk walikua waadilifu sana
Huyo Nyakirang'ani mwanae ndio yule mwenye nyakirang'ani construction??
 
Back
Top Bottom