Fredrick Mchauru - Mtanzania wa kwanza kupata scholarship atimiza miaka 100. Alikuwa Katibu Mkuu katika Serikali ya Awamu ya Kwanza ya Tanganyika

Kipindi cha nyuma (kwenye 2007) nilikuwa nasomaga nakala za viongozi wa zamani ktk gazeti la Mwananchi yaani karibia maisha yao yanafanana watu wa kawaida sana na kweli walikiwa wazalendo haswa.

Ni kweli

Watu waliofanya kazi na Nyerere kama mzee Sozigwa, Mzee Kaduma, Mzee Nyakirang'ani nk walikua waadilifu sana
 
Hongera sana kwake. Sio kitu kidogo huo umri. Mkuu vipi Mzee James Butiku, aliyewahi kuwa Katibu wa Nyerere ambaye naye yuko hai? Ni sahihi tukasema naye ni miongoni mwa makatibu wa serikali ya kwanza?
 
Nimerudia tena kuisoma makala. Nimeelewa, huyu alikua ni katibu Mkuu. Naomba radhi kwa usumbufu utakao jitokeza.
 
Hapana, kwa Geita Gold Mine hilo jina sio library wala lunch room, kama nakumbuka vyema ni "Mchauru Village" kule wanakoishi Mabepari na wafanyakazi wengine wa hadhi ya juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimerudia tena kuisoma makala. Nimeelewa, huyu alikua ni katibu Mkuu. Naomba radhi kwa usumbufu utakao jitokeza.

Ni sahihi mkuu

Babu alikua katibu mkuu enzi hizo wanaitwa Principal Secretary
 

Asante sana mkuu

ntamtafuta Ronald Baraka Shelukindo anipe muongozo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…