Fredrick Mchauru - Mtanzania wa kwanza kupata scholarship atimiza miaka 100. Alikuwa Katibu Mkuu katika Serikali ya Awamu ya Kwanza ya Tanganyika

Akifuatiwa na Chinga boy marehemu NASSORO WANCHILOWA MALOCHO!!!
Hahahaaa umenikumbusha mbali, kuna kijiji nilipita nimekisahau jina ila nikaribu na vijiji vya Mkoma huko newala, nilioneshwa yalipokua makazi yake Mzee Malocho.
 
Ameishi aisee je mkewe yupo?..sijui kizazi kijacho wajukuu zetu watawasomaje kina Humprey Polepole jamani &the co.
Hbd Babu
Hawatapata bahati ya kuandikwa kamwe watoto wetu watasoma habari za kina Mzee hapo usitegemee hawa jamaa wa siku hizi mtu akawekwa kwenye historia kwa lipi labda?
 
Ndio shida ya Mzee Saidi ana upendelep sana hua ana ka mrengo fulani ka udini hivi japo ni Mzee nnaemuheshimu na kuukubali sana uandishi wake
 
hahahaahahha.......kila wakati anakuja na story ya Mzee Dosa na Sykes. Inabore sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…