MJINI CHAI
JF-Expert Member
- Dec 12, 2010
- 2,202
- 1,228
Dah labda ndugu Bulesi atusaidie kushusha nondo zakeMkuu shusha nyama kidogo huyu nae alikua ni nani?
Ofcourse Mzee Malocho pia alikua kati ya wazee walopata madaraka kipindi cha Nyerere
Thanks much Duduvwili pitia hapaHuyu Nassoro Wanchilowa Mallocho alikuwa kwanza mwalimu pale IFM kwa muda mrefu baadae akagombea ubunge kule kwao Newala na akaja kuwa Waziri wa Mipango enzi ya Che Mkapa!! Sasa ni marehemu; R.I.P Wanchilowa.
Mkuu kuna jina pia nilikua nalisikiaga Huko Kusini, unamfahamu mtu huyu somebody "Sijaona"Huyu Nassoro Wanchilowa Mallocho alikuwa kwanza mwalimu pale IFM kwa muda mrefu baadae akagombea ubunge kule kwao Newala na akaja kuwa Waziri wa Mipango enzi ya Che Mkapa!! Sasa ni marehemu; R.I.P Wanchilowa.
Karne is no joke indeed
Mkuu kuna jina pia nilikua nalisikiaga Huko Kusini, unamfahamu mtu huyu somebody "Sijaona"
Dah aisee safi sana Mungu ampe heri na afya teleKabisa Mkuu
Kizazi cha dhahabu haswa - The golden generation
Hivi karibuni mzee alitembelewa na rafiki yake bwana Mrisho Sarakikya - Mkuu wa Majeshi Mstaafu
Walifurahi sana kuonana
View attachment 1430563
Unanikumbusha bibi yangu Mzaa Mama kwa sasa ana miaka 110 Hawezi hata kusema, kujigeuza, kila kitu kitandani hawezi kula anapewa Chai, Juisi nyepesi au Mchuzi tu...... kitu kama Uji au Viazi vilivyopondwa na kufanya uji hawezi kula..... Naumia sana ninapoiona hali yake ilivyo...... yupo kijijini kuna wakati mwili wake ulikuwa Wa moto tukashauriana tumpeleke hospital Wakatokea wana familia na kusema Manesi watatucheka kwa umri ule niliamua kumnunulia painkiller tukachanganya na juice tukampa joto LA mwili limeshuka hadi Leo ingawa natishika na Hali hii ya kutokula kwake.......
MAISHA NI MTIHANI.........
Muulize Babu anakulaga nini na mimi nianze kula niwe fit na afya na bitoz kama yeye.
Huyu Nassoro Wanchilowa Mallocho alikuwa kwanza mwalimu pale IFM kwa muda mrefu baadae akagombea ubunge kule kwao Newala na akaja kuwa Waziri wa Mipango enzi ya Che Mkapa!! Sasa ni marehemu; R.I.P Wanchilowa.
Mkuu kuna jina pia nilikua nalisikiaga Huko Kusini, unamfahamu mtu huyu somebody "Sijaona"
Lawi Nangwanda Sijaona nae alikuwa Mbunge wa kutoka huko huko na alikuwa mmoja wa mawaziri wa kwanza kwenye Cabinet ya Mwalimu Nyerere baada ya uhuru. Nae bahati mbaya ni marehemu.
Wewe kama mjukuu wake tena wakiume , tafadhali kaa nae karibu akumegee siri ya kuweza kuishi mpaka kufikia karne moja!! Halafu na wewe usiwe mnyimi ukiipata uje utumegee na sisi humu JF!!! Namkumbuka marehemu mama Thecla Mchauru wakati akiongoza UWT.
Sawa kabisa chief
Ntafanya hivyo. Nitamdadisi kwa urefu na upana
Thanks muchLawi Nangwanda Sijaona
Huyu naona alisoma na mzee Mchauru na walifanya kazi pamoja based na hii historia hapa
Lawi Sijaona was born in 1928 at Mnima in Newala district in the far south-east near the Mozambique border.
Educated at St Andrews College, Minaki to Senior Cambridge Overseas Certificate level.
He started work on “Habari za Leo”, a local newspaper and rose to become its editor. He then joined local government as clerk to the Newala local council in 1955, moving to become chairman of the council in the coastal town of Lindi before joining central government.
He became Parliamentary Secretary to the Ministry of Local Government from 1961 to 1962. When Tanzania became a republic in December 1962 he was made Minister for National Culture and Youth, then Lands, Settlement and Water Development and Minister of State in the Second Vice-President’s Office in April 1964.
His major promotion came when he was made Minister of Home Affairs in September 1965, a post he held until June 1967 when he went back to become Minister of State in the Second Vice-President’s Office before being reshuffled to Minister of Health and Housing in October 1968 and Minister of Health and Social Welfare.
In February 1972 he was sent to become Regional Commissioner in West Lake and later Mwanza as part of the new Tanzanian decentralization policy, where some of the best ministers were given key rural appointments.
A party stalwart and government minister of many years’ standing. He regarded as a tough Minister when he was in charge of Home Affairs. he was also Minister of Health, and was later on chosen as the spearhead of President Nyerere’s decentralization policy, when he was sent, with some of the best ministers, into the provinces as a Regional Commissioner.
Source
Lawi Sijaona
ENCOURAGING!!