TANZIA Fredrick Shoo (FRESHO) Mmiliki wa Kampuni Tanzu za FRESHO INVESTMENT LIMITED Afariki

Inakuwaje mnafahamu maisha ya watu kiasi hiki?
Ndio maana Shinyanga iko vile hadi sasa. Watu wake wamekalia umbea umbea tu
Sio umbea Mkuu- ni kwa sababu ya udogo wake- umefanya muungiliano wa watu kuwa rahisi Sana- kwa mfano mpaka miaka ya 2000- shule za sekondari zilikuwa hazizidi tatu- jioni baada ya masomo wanafunzi wa shule hizi kwa kuchanganyikana wanakutana kwenye ma-tuituon- wengine wanatembeleana majumbani- huko wanakutana na ndugu wengine wanaosoma kwingine- ni mwendo wa mountain bike tu- ukiwa na baisikeli shy town unaimaliza kabla siku haijaisha- disco ukumbi Mkubwa ni mmoja tu- butiama au Shideco zamani- ikifika umiseta mwingiliano ndio unaongezeka zaidi- sehemu za starehe Kama baa nazo zilikuwa chache sana- ikiwemo mazingira center- michezo Ni Risasi- kwa watu wa basketball- au vijana center Ngokolo- huko kote vijana wanakutana- ni kawaida- kwa watu walioishi kwenye miji midogo kufahamiana sana- hii pia niliiona kwa watu wa Musoma
 
Gaki=Gaspar Kileo.

Mangi Gasper alikuwa anafahamika kama jambazi eti anaiba magari. Sijui kama ilikuwa ni kweli. Nakumbuka alikuwa anaishi Ngokolo karibu na kwa mwana Mduni. Ila kusema kweli ilikuwa haifahamiki anafanya shughuli gani.

Gaki=Gaspar Kileo.

Mangi huyo.
Huyu Gasper enzi zile alikuwa jambazi wa magari.Ila bora kaamua kujikita kwenye biashara halali.Bado anaishi Ngokolo ?
 
Hahaaa..buluba ilikua ni [emoji91][emoji91][emoji91]


#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Buluba ilikuwa shule ya ma star. Nakumbuka nilisoma Mwenge primary shool. Enzi hizo tunatoka shule kulikuwa na coner flan ile barabara ya kwenda goverment kwenye junction na ile kwa kwenda Ngokolo hapo tunamwona Nteze John kachil na marafiki zake. Kuna mwalimu aliitwa Tambalu alijulikana sana 🤣
 
Mchaga yupo tayari kumuozesha mtoto wake kabila lolote hata kumuozesha kwa ukoo wa shetani ilimradi tu anaenda kuolewa kwenye pesa...pesa imeondoa utu ndani ya wachaga.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa kuna kitu wachagga wamekufanyia sio buree,chuki haibadili aina ya maisha uliyonayo tena hususani kwa maendeleo binafsi ya binadamu mwenzako.
Hakuna mkamilifu duniani,ila namna unavyoongea utadhani wewe ni mwema kuliko wachagga wote TANZANIA.
Jitafakari sana.
 
Alisimama karibu sana na magufuri hiyo itakuwa ni sababu ya kusogeza kifo chake
 
Ha ha ha Bulubaa
 
Sure napafahamu sana Shy town.
Demu mkali anafahamika mji mzima.

Anyway ngoja tutoe heshima za mwisho kwa Baba yetu Fresho. Hapa Kimbushi
 
Kagera baada ya kuiua KCU na KDCU ndo kagera ikadorora mpaka leo.


Sasa ndo Ina recover
 
Ha ha ha Bulubaa
Buluba- ya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…