TANZIA Fredrick Shoo (FRESHO) Mmiliki wa Kampuni Tanzu za FRESHO INVESTMENT LIMITED Afariki

Kwanini vichaa wengi sana shytwn,kahama yani mpka unajiuliza ....
 
Mueleze huyo. Wasukuma tunafahamiana sana. Kwenye misiba mtu unaishi matanda ila unakwenda msibani Mwasele. Ndo maana hata wageni mikoani kwetu wanatoboa kirahisi tu. Hatubagui. Ila kule Moshi mchaga atanunua kwenye duka la mchaga mwenzake kuliko kununua kwenye duka la msukuma lililo karibu yake.
 
Mzee minzi namfahamu kumbe ilikuwa hvyo tena? Da hatari sana
 
RIP big man.

One thing for sure is you've loudly left a lesson, one can be rich without bieng famous!

To the young thirsty bloods out there, aim for the money Not the fame!!!
Inasikitisha Sana...Mapema mno..
 
Kupiga=Kuiba..Kosa liko wapi?
 
Asante kwa apprΓ©ciations
Nakala kwa anti-chagas
instanbul
MoseKing
Accumen Mo
 
luambo makiadi soma hii nyie ni matapeli hamna utu ...Damu yenu chafu ya kufanya umafia kwa tamaa za pesa.
 
Sasa unatumia nguvu sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]..Tupo nao walioa hawana cha maana ..

Dada angu kaolewa huko hamna cha maana ,huyo mumewe hatumi hata 10k kwa baba mkwe wake.
Ulitaka atume nini?
Fanyani KAZI hakuna pesa ya bure
 
Ulitaka atume nini?
Fanyani KAZI hakuna pesa ya bure
Kwani wapi nilitaka maendeleo kutoka kwa mwanamke πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†...Huo mjinga mvivu ndio kaletewa maendeleo na mwanamke.

Hakuna billionaire mwanamke wa huko kwenu ,nionyeshe pale kweny list ya mabillionea ....Vijana wavivu ndio mnategemea wanawake sio kwetu sisi ushamba wenu na utapeli mbaki nao huko.
 
Yule aliandaliwa na ccm
 
Nasikia Africa magharibi waliokuwa wanapinga chanjo baada ya kuona watafuta views youtube wakiipinga. Wameanza kukimbilia chanjo baada ya kuanza kupukutika.
Kwa hiyo unaamini wanaokufa ni wasiochanja si waliochanja?!Aisee,afadhali mtu akunyime mali akupe akili.Halafu mbona Corona ilikuwa utapeli mkuu, kwa wenye akili hili liko wazi!!! Wajinga ndio waliwao.

Niseme hivi, upo mpango wa kupunguza watu duniani,na katika mpango wao wanataka kuanza kupunguza,the fool and stupid,ambao uwezo wao wa kuchambua mambo na kufikiri ni mdogo.So yeyote aliyechanja against Corona ni mlengwa,na wanakiri hili wazi.Poleni sana.The bioweapon has just started to take it's toll.Ni ajabu kwamba watu wanadanganywa kwamba waliochanja ndio wanaokufa kumbe waliochanja ndio wanaokufa.Very stupid indeed.Kama Corona is real,iko wapi leo,mbona hamwazi,mapoyoyo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…