Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mtu anaefanya kaz ya duka ya kukaa unafikir hasikiliz redio anasikiliza kuna baadhi ya kaz zinaruhusu kusikiliza redio
tena cha ajabu yupo taifa anautazama mpira anaousikiliza......acha ccm waendelee kututawala tuHahahahaha sawa na wale wanaotazama mpira harafu muda huo huo wanasikiliza kwenye simu
kabisa, haieleweki ni kipindi cha commedy au vichekesho au kero kwa wasikilizaji, yule afanye vitu vingine mule ndani, Amplifaya imekuja kuharibika sana aisee
sanaNina mwaka mzima Sijasikiliza Amplifaya baada ya huyo demu kuingia kwenye kipindi kiufupi kipindi kimekosa mvuto.
Sent using Jamii Forums mobile app
UPDATES: Huyu bwana ni mwezina wiki kadhaa sasa bila kusikika masikioni mwa watu, duru zinasema mfumo umemkataa yeye pamoja na mwenzie wa Kunduchi ndio alizingua balaa na pendo lake tayari linakaribia kupata mzibaji, yote heri watumie vipaji vyao kufanya mengineNamuona kwenye matangazo ya oil ya kampuni ya total nadhani anakuka shavu huko
UPDATES: Huyu bwana ni mwezina wiki kadhaa sasa bila kusikika masikioni mwa watu, duru zinasema mfumo umemkataa yeye pamoja na mwenzie wa Kunduchi ndio alizingua balaa na pendo lake tayari linakaribia kupata mzibaji, yote heri watumie vipaji vyao kufanya mengineDaah kweli asee Fredwaa alikua ananiamsha ile alfajiri,,Energy man wamezingua bora arudi,Nashangaa na'tune 88.1 Niskilize Hali ya hewa,reggae,Kakakuona et namsikia Philip Mwihava na KP khaaa nini tena iki??Haya ni maajabu ngoja nimpigie mama
UPDATES: Huyu bwana ni mwezina wiki kadhaa sasa bila kusikika masikioni mwa watu, duru zinasema mfumo umemkataa yeye pamoja na mwenzie wa Kunduchi ndio alizingua balaa na pendo lake tayari linakaribia kupata mzibaji, yote heri watumie vipaji vyao kufanya mengineNamkubali sana huyu mangi...ila tangu PB alivyo ondoka PJ na hando...na mimi nilihama nawo na kwenda E-fm...mpaka leo nipo huku...
Kule siku hizi hamna hamsha hamsha kama zamani wamekuwa double standard...kama wamepangiwa nini cha kuongea
[emoji2] [emoji2]
Mkuu kwenye post yako nilikua nasubiri uiseme American top 40....mm ilikua bora nisiskilize Radio wiki nzima ila hiki kipindi was one of my favorite radio program...nawakumbuka sana Kiss FM kwa hili.Mara zote naitamani Kiss Fm ya 2010 kurudi nyuma
Asubuhi unaanza na John Karani JK na mwanadada fulani simkumbuki. Baada ya hapo ni Kiss Prime Time
The Big Fuse na Captain JML Joachim Munga Luguru (alikua anasema "keep on your inner ear and get terrifying"). Alikua na DJ Jeff Jerry...noma sana
Baadaye hii show alirithiwa na Ezden The Rocker,akaibadili jina na ikaitwa Bongo Collabo Mix Show. Hakuiharibu sana
Saa tano kamili tunapata News from the BBC na show inaendelea mpaka saa sita. Hapo tunapata show ya afternoon mpaka saa nane
Kuanzia saa nane ni Kiss Hot Wire na Dj Chriss...we acha kabisa
Saa kumi ni Kiss Drive. Ilikua na mtangazaji bonge moja la vocalist Dunia nzima Tobby The Splash! Huyu jamaa sijaona mfano wake mpaka sasa.
Show ya Tobby iliisha saa kumi na mbili jioni. Hapo aliingia Dee Seven na African Beat...mitamboni alikuwepo DJ Maliz..kulikua na jingle ya miluzo...fyuu fyuuuuuu...! acha kabisa Mangi. Hii ilikua ndio show pekee ya kiswahili kwa hii redio. Ilisimamisha mitaa yote na daladala zote Dodoma enzi hizo. Mji mzima iliskika sauti moja tu ya Kiss FM
Saa mbili kamili show iliisha. Aliingia mwanamama Sharbano Aboubakar "Sherry" na Kiss Comfort Zone. Ilikua hatari nyingine
Kuazia saa tatu kulikua na habari za BBC na sports kama sikosei. Saa nne kamili alichukua usukani jamaa mmoja mlavidavi aliitwa Gody B The Pilot na show iliitwa Love Zone! Acha kabisa arif...
Weekends waliungana na redio za marekani. Show ya Ryan Seacrest ya American Top 40 ilirushwa Mubashara. Kulikua pia na Weekend Top 30. Jumamosi kulikua na sebene mix za kufa mtu kuanzia saa tisa mchana
Walikua na best DJ's...Dj Maliz,DJ Devi,DJ Jeff Jerry,DJ Chriss na wengine
Kiss FM ilivyoharibika na watangazaji wote kutimkia kusikojulikana basi nilipatwa na msongo wa mawazo!
Aliyeiloga Kiss FM alaaniwe sana! Sasa hivi redio zote zinatengeneza programu sawa tu na Clouds. Hakuna ubunifu wowote utakaomfanya msikilizaji awe na choice ya program za redio tofauti. Program za asubuhi,mchana,jioni na usiku ni zilezile kwa redio zote. Ovyo kabisa!
Fredwaa pale RFA alikua na show ya tofauti sana na ubunifu wa kipekee nje ya huu mfumo wa ki-clouds. Sasa alipoenda clouds pale alikosa kabisa emotional freedom ya kufanya makeke yake! Natamani kumwona jamaa akiwa na show yake mwenyewe kwenye redio kubwa. Energy Man is very talented! Mashabiki wake tutakua naye mpaka mwisho!
Sent using Jamii Forums mobile app
You nailed it! Antony Diallo hivi hana washauri wazuri? mpaka kesho hakuna redio ilokuwa ya kijanja na ubunifu kama kiss fm ya zamani.Mara zote naitamani Kiss Fm ya 2010 kurudi nyuma

uchambuzi safi sana, Big Up mkuu,Mara zote naitamani Kiss Fm ya 2010 kurudi nyuma

American Top40, Weekend Top30, Cocacola Open Happiness mixing show with AONE, aaarrrggghhh, kupotea kwa Kiss fm kumefanya watu waje kusikiliza redio zenye program za ajabu sanaMkuu kwenye post yako nilikua nasubiri uiseme American top 40....mm ilikua bora nisiskilize Radio wiki nzima ila hiki kipindi was one of my favorite radio program...nawakumbuka sana Kiss FM kwa hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
mzee hashauliki pia na waliokaribu yake wanamtumia ki maslahi tu,You nailed it! Antony Diallo hivi hana washauri wazuri? mpaka kesho hakuna redio ilokuwa ya kijanja na ubunifu kama kiss fm ya zamani.
Sehemu zote walipokuwa na frequency ilikuwa inabamba kinoma..
Sent using Jamii Forums mobile app