Fredwaa (Fredi Fidelis) forgive, forget and move on? PB imepoaaa

Dah kka uko kama mm yani, kipnd cha asubuhi cha John karani, Jk....nakimiss mnoooooooo [emoji26]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiss FM nilikuwa simkosi yule jamaa wa kuitwa Borry the Pilot. Ngeli yake utafikiri ya Wayne Rooney wa kwa malkia Elizabeth.
hahahahah redio nyingi zilizokuwa zinatangaza kingereza nyingi chalii, kwa madai hakuna wasikilizaji wengi, ki uhalisia si kweli, KISS FM, CHOICE FM, CLASSIC FM
 
Mkuu umesahau kitu kimoja....usiku kuanzia saa 6 wanachomeka plug za radio za mbele huko unakula majimbo ya kinyamwezi enzi hizo usiku nikila msuli ndio ilikuwa radio yangu kui tune.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe Bwana Mdogo umemaliza kila neno langu

Umenigusa moyo wangu na hii ni comment bora sana kwa mtu anayejua Kiss Fm unayoiongelea

Wakati ule Dee Seven na DJ Maliz walikua kama vichaa kuna wakati wanapiga Hip Hop kipindi kizima na kuna wakati RnB tu.

Nakumbuka sana dogo Yaki, Producer Amber wamepigwa sana kwenye African Beat kwa mara ya kwanza nimemsikia Joh Makini na River Camp Soldiers wakat ule tu.

Jumapili Ryan Seacrest na Amercan Top 40 ndio mara ya kwanza nilisikia Beautiful Girl ya Sean Kingston

Kila ikianza See it started at the park
Used to chill after dark
Oh when you took my heart
That's when we fell apart

Nakumbuka ile Kiss Fm times 3!





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwenye post yako nilikua nasubiri uiseme American top 40....mm ilikua bora nisiskilize Radio wiki nzima ila hiki kipindi was one of my favorite radio program...nawakumbuka sana Kiss FM kwa hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
American Top40, Weekend Top30, Cocacola Open Happiness mixing show with AONE, aaarrrggghhh, kupotea kwa Kiss fm kumefanya watu waje kusikiliza redio zenye program za ajabu sana
Kiss FM nilikuwa simkosi yule jamaa wa kuitwa Borry the Pilot. Ngeli yake utafikiri ya Wayne Rooney wa kwa malkia Elizabeth.
Mkuu umesahau kitu kimoja....usiku kuanzia saa 6 wanachomeka plug za radio za mbele huko unakula majimbo ya kinyamwezi enzi hizo usiku nikila msuli ndio ilikuwa radio yangu kui tune.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapenzi wa Kiss Fm
tulikuwa wengi sana

Halafu wakati ule Kiss Fm
Lazima uipate na chenga chenga
flani hivi ilikua clear Mwanza
Dar na Arusha tu.

Kipindi cha Kiswahili Jioni tu
Jingle yao flani hivi ilikua
Inasema Best Musics.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaaaah Week end Top Thirty na Hollywood Hamilton umenikumbusha mbali sana 2000's.
 




Ryan John Seacrest is an American radio personality, television host and producer. Seacrest is known for hosting the competition show American Idol, the syndicated countdown program American Top 40, and iHeartMedia's KIIS-FM morning radio show On Air with Ryan Seacrest. Wikipedia

Born: December 24, 1974 (age 45 years), Dunwoody, Georgia, United States
Height: 1.71 m
Movies: Shrek Forever After
Education: Dunwoody High School (1992), University of Georgia, MORE
Quotes
Failure? Scared to death of it.

Trust me, if I were gay I'd be getting more action than I'm getting now.

I hope I can help guys come out and say, ’All right, dude, I got a manicure... and I liked it.’
 
yaki alitrend sana kipindi kile, na Producer AMBA kupitia Kiss fm na RFA ndio alijulikana
 
kunqneno sijui kama nalianfika kwa usahihi
Public the Best Music

kiss nowdays imepwaya sana kila zama na zama sake aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@Nafaka ule mchongo ulinichinjilia baharini mkuu maana No reply kabisa mkuu.

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
@Nafaka ule mchongo ulinichinjilia baharini mkuu maana No reply kabisa mkuu.

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
Mkuu nitakucheck kesho mkuu niko bsy sana sana ila kesho nitakuchek then tuone tunafanyaje usijali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…