Fredwaa (Fredi Fidelis) forgive, forget and move on? PB imepoaaa

dah....huyu jamaa naikubali sana style yake ya utangazaji...haichoshi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka leo bado unasikiliza redio Tena Clouds fm
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawashangaa sana watu wanaoshobokea watangazaji wa redio. Hawa watu wanakuwaga na public appearances tena sababu ya sauti zao tu ambazo haziendani kabisa na real private personae zao. Hamna watu feki and immoral kama hawa jamaa.
 
kabisa, haieleweki ni kipindi cha commedy au vichekesho au kero kwa wasikilizaji, yule afanye vitu vingine mule ndani, Amplifaya imekuja kuharibika sana aisee
Meena Ally mpemba angebakia alikokuwa alikuwa anavutia kule alipokuja Amplifaya kaharibu kabisa. Hizo stori 10 hazivutii tena imekuwa shaghala baghala aheri angebakia Millard Ayo tu hata muziki wao umekuwa na Playlists mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawashangaa sana watu wanaoshobokea watangazaji wa redio. Hawa watu wanakuwaga na public appearances tena sababu ya sauti zao tu ambazo haziendani kabisa na real private personae zao. Hamna watu feki and immoral kama hawa jamaa.
kina nani hao wanashobokea watangazaji..?
 
mbona kote tu alikuwa anazingua, kipindi cha Uswazi ndio kabisa, NIAMBIE ndio ilikuwa mahara pake
 
hiki nakiona siku baada ya siku, moja ya kipindi ambacho kimekuwa cha kawaida sana siku hizi ni Amplifaya
Kukua Kwa social network na kuongezeka Kwa watumiaji wa smartphone ndo kumeiua amplifaya mana vtu vingi jamaa ana Google , sasa watu wanavipata fasta tuu bila kumsubir yeye tofaut na zaman, kama website yake ndo kabisaaa .... Ni kama zaman watu wakisikia Nyerere anahutubia wote wanajikusanya kwenye redio ya kijiji ...na walimwaminia kuwa anajua vitu vingi kumbe jamaa naye alikuwa na access ya news from abroad af anakuja kuwaringishia wabongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…