Fredwaa (Fredi Fidelis) forgive, forget and move on? PB imepoaaa

Hahahahaha sawa na wale wanaotazama mpira harafu muda huo huo wanasikiliza kwenye simu
 
jamaa wana swaga za kipekee sanaa,unamkuta anaangalia mpira wa kibongo kwny screen ila hakosi kuwa kicm cha tecno sikion akimskiliza kashasha
Mazoea na ka ushamba flani hahaha
 
Tatizo sio kusikiliza radio Bali u nasikiliza nini?
Vipindi vya sasa hivi na watangazaji wake wamekuwa watu wa utani mwingi na mzaha mpaka wanaboa.
Leo hii wachekeshaji ndio WATANGAZAJI.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa zama hizi ukitaka vitu serious vinavotangazwa kwenye redio utapotea, vitu serious viko CNN, BBC na Aljazeera
 
Daah!! Nakimiss sana hiki kipindi. Nilikuwa nakipenda sana, huku kwetu madongo kuinuka siipati hii redio.
 

360 ilikuwa ya Hudson Kamoga [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] sio hii ya sasa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…