Fredwaa (Fredi Fidelis) forgive, forget and move on? PB imepoaaa

Fredwaa (Fredi Fidelis) forgive, forget and move on? PB imepoaaa

Kama jamaa zangu huk kanda ya titi wao na radio n ka radi na mvua,kuna jamaa angu nlimtimbia geto bila taarifa,cha ajabu nlikuta kafungulia jembe fm kweny sabwoofer then akawa na kicm cha tecno kaweka sikion,yan ile kabla cjaanza mcheka ilibid aanze kujicheka mwenyew.
Hahahahaha sawa na wale wanaotazama mpira harafu muda huo huo wanasikiliza kwenye simu
 
jamaa wana swaga za kipekee sanaa,unamkuta anaangalia mpira wa kibongo kwny screen ila hakosi kuwa kicm cha tecno sikion akimskiliza kashasha
Mazoea na ka ushamba flani hahaha
 
Tatizo sio kusikiliza radio Bali u nasikiliza nini?
Vipindi vya sasa hivi na watangazaji wake wamekuwa watu wa utani mwingi na mzaha mpaka wanaboa.
Leo hii wachekeshaji ndio WATANGAZAJI.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa zama hizi ukitaka vitu serious vinavotangazwa kwenye redio utapotea, vitu serious viko CNN, BBC na Aljazeera
 
Daah!! Nakimiss sana hiki kipindi. Nilikuwa nakipenda sana, huku kwetu madongo kuinuka siipati hii redio.
 
Sijawahi kusikiliza hiki kipindi mda mrefu sana nadhani toka enzi za kina babra! Nikawa mpenzi wa TV hasa kipindi cha 360! Nikaja kukitema rasmi alivyoingia yule mbeba mikoba wa Betina!

Bora ya Sam na yule Dada lakini haka kajamaa kengine kakanifanya nianze kufaidi vizuri ka smart TV kangu kwa kuangalia mambo mengine!!


Sent using Jamii Forums mobile app

360 ilikuwa ya Hudson Kamoga [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] sio hii ya sasa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom