Fredwaa (Fredi Fidelis) forgive, forget and move on? PB imepoaaa

alikuwepo dada anaitwa ridhisha sagati,sijui kapotelea wapi,na Glory wa show time.kwa maoni yangu hakuna watangazaji wa kike wanaoweza kama hao.wengi wa sasa ni tuvingereza twingi na kubana pua
mishahara midogo watu wanakimbia wanaamua kujiongeza
 
Kwa mtu anaefanya kaz ya duka ya kukaa unafikir hasikiliz redio anasikiliza kuna baadhi ya kaz zinaruhusu kusikiliza redio
Muuza Duka, Genge, Shoe shine, Kahawa, Mlinzi, Fundi Cherehani, Dereva Tax, Boda boda, Saloon, Car Wash kusikiliza redio huleta hamu ya kufanya kazi
 
Tatizo kuna upuuzi mwingi sana kwa redio siku hizi. Wakati fulani 103.3 classic fm walikuwa na utaratibu wa kujiunga na BBC Channel , yaani kwa kweli nilikuwa nafarijika. Pia Kiss fm huwa wananikosha wanapojiunga na VOA news.Ila siku hizi redio nasikiliza vipindi vya michezo tu.
 
Fredwa wa free Africa alikuwa moto hadi unatamani usimkose lakini WA clouds tofauti kabisa.... Power breakfast bila masoud kuna insight za mambo zinapungua .....
Hivi jahazi PJ naye hasikiki......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkataba wake utakuwa umeisha
 
Ila watu wengi siku hizi redio hawasikilizi bro , Mimi Ni mmoja wapo , nakumbuka enzi nilikuwa karibu Sana na redio , VOA, external rtd, rtd, BBC , Deutsch welle etc
 
Khee..! Kujiunga na redio nyingine ndo kunakufanya uone redio iliyojiunga ndo ya maana..!?? SASA KWANINI USISIKILIZE HIYO REDIO WANAYOJIUNGA NAYO..???
 
Kuna tangazo la uzamini mpya wa Power breakfast wamelitangaza juu ya wiki ijayo na kutaja watangazaji wa PB hawa kumtaja Fred war ila wamewataja Masoud na wengine akina Barbara Hasan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…