Kasunguranyama
JF-Expert Member
- Feb 12, 2020
- 499
- 368
Ezekiel malongo wapi nae?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amesha "R.I.P".Ezekiel malongo wapi nae?
Marehemu huyu jamaa yangu huu mwaka wa 5 tangu ang'ate shukaEzekiel malongo wapi nae?
Kweli kabisa na niliwahi sema huku hata chalii ya marangu (kicheko mtata)pale e fm alikuwa anaipaisha ile stations na yeye mwenyewe alianza kujenga jina ruge kaenda kumrubuni kaingia mkenge kwa sasa nae kwisha habari yake hasikiki tenakasha potezwa huyo maana clouds kwa kuua vipaji ndo zao
uache muda uzungumze, kama ni likizo itajulikana kama ameachia ngazi utajua,Mbona kama wiki mbili hivi sijamsikia Fredwaa redioni .... CloudsFM na hata wenzake hawamtaji taji kama siku Babra labda hayupo au Masoud hayupo ....
Uko sawa kabisa wanasema hawasikilizi clouds redio ya kipuuzi lakini thread zinazohusu vituo vya redio humu almost zote zinahusu clouds...
Wabongo noma mtu anaweza hata akakana wazazi wake...
Naona post ya 2017 .. lakini pia mwaka huu 2020 leo kama wiki ya nne sijamsikia redioni Fredwaa. Ameenda wapi?Mbona kama wiki mbili hivi sijamsikia Fredwaa redioni .... CloudsFM na hata wenzake hawamtaji taji kama siku Babra labda hayupo au Masoud hayupo ....
Mpaka leo hasikiki FredwaaNaona post ya 2017 .. lakini pia mwaka huu 2020 leo kama wiki ya nne sijamsikia redioni Fredwaa. Ameenda wapi?
Ripyu wapi huyu bwasheee