Fredwaa wa Clouds Fm yuko wapi?

Fredwaa wa Clouds Fm yuko wapi?

kasha potezwa huyo maana clouds kwa kuua vipaji ndo zao
Kweli kabisa na niliwahi sema huku hata chalii ya marangu (kicheko mtata)pale e fm alikuwa anaipaisha ile stations na yeye mwenyewe alianza kujenga jina ruge kaenda kumrubuni kaingia mkenge kwa sasa nae kwisha habari yake hasikiki tena
 
Mbona kama wiki mbili hivi sijamsikia Fredwaa redioni .... CloudsFM na hata wenzake hawamtaji taji kama siku Babra labda hayupo au Masoud hayupo ....
uache muda uzungumze, kama ni likizo itajulikana kama ameachia ngazi utajua,
 
Ukisema wabongo maana yake ni wanaume wa Dar?

Maana hizo redio nyingine mnazozisifu kushindana na clouds zinasikika hapo Dar tu.
Uko sawa kabisa wanasema hawasikilizi clouds redio ya kipuuzi lakini thread zinazohusu vituo vya redio humu almost zote zinahusu clouds...
Wabongo noma mtu anaweza hata akakana wazazi wake...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom