Poleni sana, kila nafsi itaonja mauti!!! Hiyo Rose Garden na Ukumbi wa Kikimanj upo sehemu gani huko Dodoma?Tajiri ambaye pia ni Mmiliki wa Rose Garden Dodoma na ukumbi wa sherehe wa Kikimanj Ndugu Fredy Sam amefariki Dunia jana usiku akiwa anapatiwa matibabu kwenye hospitali ya Aghakan Jijini Dar es salaam...
Rose garden ipo area C, wapo fresh sana kwenye menu.Poleni sana, kila nafsi itaonja mauti!!! Hiyo Rose Garden na Ukumbi wa Kikimanj upo sehemu gani huko Dodoma?
Rose garden iko area C,hiyo kikimanji naona kakosea kuandika akimaanisha Kilimani club ambayo ipo Uzunguni-Dodoma.Poleni sana, kila nafsi itaonja mauti!!! Hiyo Rose Garden na Ukumbi wa Kikimanj upo sehemu gani huko Dodoma?
Wafrika tukipata pesa tunaacha mazoezi..Utajiri wa kiafrika mara nyingi unaambatana sana na pressure, kisukari, shambulio la moyo nk.
Sijui tunakosea wapi.
Rest well mr. business man.
Umesahau DHARAUUtajiri wa kiafrika mara nyingi unaambatana sana na pressure, kisukari, shambulio la moyo nk.
Sijui tunakosea wapi.
Rest well mr. business man.
How old are you madam!Kama Ali survive stroke kwa wiki tatu alikua na nafasi kubwa ya kupona. RIP.