TANZIA Fredy Sam, mmiliki wa Rose Garden Dodoma afariki Dunia

TANZIA Fredy Sam, mmiliki wa Rose Garden Dodoma afariki Dunia

Utajiri wa kiafrika mara nyingi unaambatana sana na pressure, kisukari, shambulio la moyo nk.

Sijui tunakosea wapi.
Rest well mr. business man.
Utajiri wa kipepo...unafuatana na uharibifu
 
Hivi hii kauli ya kila nafsi itaonja mauti huwa ina maanisha nini na huwa mnaitoa wapi?


كُلُّ نَفْسٍ ذَائِقَةُ الْمَوْتِ ۗ وَإِنَّمَا تُوَفَّوْنَ أُجُورَكُمْ يَوْمَ الْقِيَامَةِ ۖ فَمَنْ زُحْزِحَ عَنِ النَّارِ وَأُدْخِلَ الْجَنَّةَ فَقَدْ فَازَ ۗ وَمَا الْحَيَاةُ الدُّنْيَا إِلَّا مَتَاعُ الْغُرُورِ

Kila nafsi itaonja mauti. Na bila ya shaka mtapewa ujira wenu kaamili Siku ya Kiyama. Na atakaye epushwa na Moto na akatiwa Peponi basi huyo amefuzu. Na maisha ya dunia si kitu ila ni starehe ya udanganyifu. Al-'Imran, Aya ya 185
 
Wabongo wengi wakipata pesa wanakula hovyo sana.
Mtu anatafuna kitimoto rosti kilo 2 😃😃😃😃
Kila wikeend ni minyama kwa kilo na bia
Kuna jamaa baada ya kupata kazi utaratibu ukawa kama huo apo juu
Baada ya miaka 3 akapata kisukari na ni dogo wa 29 sasa hv
Alikua ana mwili sasa hv ameisha kwasababu ya sukari
 
Utajiri wa kiafrika mara nyingi unaambatana sana na pressure, kisukari, shambulio la moyo nk.

Sijui tunakosea wapi.
Rest well mr. business man.
Unaambiwa hela yako mwenyewe ndio inakuua. Sweken hata mambo ya UVIKO barakoa hawajali wanadunda tu.
 
Wafrika tukipata pesa tunaacha mazoezi..
Safari fupi ya kutembea unatumia gari.
Kula sana, vinywaji zaidi, mademu unawapanga foleni nk.

Yule mzawa wa Wuhan usimsahau sana walakini
 
Agha Khan Hospital in Dar ea Salaam is grossly overated
 
Tajiri ambaye pia ni Mmiliki wa Rose Garden Dodoma na ukumbi wa sherehe wa Kikimanj Ndugu Fredy Sam amefariki Dunia jana usiku akiwa anapatiwa matibabu kwenye hospitali ya Aghakan Jijini Dar es salaam.

Bwana Fredy alifikishwa hospitalini hapo wiki tatu zilizopita akiwa anasumbuliwa na pressure iliyopelekea kupata stroke.

Mipango ya mazishi inafanyika Dodoma, Dar na Moshi
Related news
 
Back
Top Bottom