TANZIA Fredy Sam, mmiliki wa Rose Garden Dodoma afariki Dunia

Mimi nimejifunza kwake kitu kizuri, akitaka kuwekeza sehemu anatanguliza sana kupanda miti. Kwa Dodoma ilivyo kame, maeneo yake yalikuwa yanavutia sana kwa mimea. Imagine watu wangeiga hii idea, Dom ingebadilika kiasi chake. RIP.
Kapicha mkuu tuone hiyo miti.
RIP.
 
Wafrika tukipata pesa tunaacha mazoezi..
Safari fupi ya kutembea unatumia gari.
Kula sana, vinywaji zaidi, mademu unawapanga foleni nk.
Hii inaweza kuwa miongoni mwa sababu. Haswa eneo la ulaji na ukosefu wa mazoezi sahihi.
 
Apumzike kwa amani
 
NJIA YETU MOJA.

Kwenye kila Changamoto pana funzo... Tutubu na tumrudie Muumba wetu.

Tubu leo maana mimi na wewe sote tu wachafu mbele za Mungu.
 
Utajiri wa kiafrika mara nyingi unaambatana sana na pressure, kisukari, shambulio la moyo nk.

Sijui tunakosea wapi.
Rest well mr. business man.
Wabongo wengi wakipata pesa wanakula hovyo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…