Hellow Tanganyika!
Mzee Slaa ameshiriki kiasi kikubwa kuleta mabadiliko ya Fikra Nchi hii, mchango wake ni wa kupigiwa mfano.
KAZI iliyo mbele yetu ni kulazimisha mfumo huu kandamizi kusikiliza, kutii na kutekeleza matakwa ya umma wa wananchi Watanzania tutakao mabadiliko ya Kweli kimfumo Ili tupate Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya kabla ya October 2025.
Muda uliopo unatosha, Rasimu ya kwanza ya Warioba irudi mezani, tufanye marekebisho Ili kupataTume huru ya Ili tufanye uchaguzi wa HAKI.
NB:
Uhuru wa Kutoa maoni umeruhusiwa kikatiba, uhuru huo uheshimiwe, na kamwe siasa zisihamie korokoroni.
Mungu Mbariki Dr Slaa,
Mungu mpe maisha marefu Judge Warioba,
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni 🙏
Soma: Pre GE2025 - Tundu Lissu: Hatutashiriki Uchaguzi Mkuu bila Katiba Mpya na Tume Huru