“Free Education ama ni Story Tu? MPs Wafichua Ksh77B Hole Wazazi Sasa Wabebe Mzigo?”

“Free Education ama ni Story Tu? MPs Wafichua Ksh77B Hole Wazazi Sasa Wabebe Mzigo?”

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
535
Reaction score
312
Kenya iko kwa dilemma kubwa sana kwa sector ya education. MPs sasa wanauliza swali direct—is education still free or ni slogan tu? Hii inakuja baada ya Basic Education PS Julius Bitok kufichua kuwa kuna underfunding ya karibu Ksh77 billion kwa secondary schools.
Kwa ground, reality ni tofauti kabisa. Serikali ilisema capitation ni around Ksh22,000 per learner, lakini MPs kama Wilberforce Oundo wanasema schools wanapata karibu Ksh12,000. Swali kubwa ni—ile gap inalipwa na nani? Jibu iko wazi: mzazi wa kawaida.
Mary Emase alisema wazi: “We are living a lie.” Na ukweli ndio huo—wazazi wanaendelea kulipa hidden costs: fees za development, lunch programs, na contributions zingine ambazo hazisemwi officially.
Kwa upande mwingine, enrolment imepanda sana—from 3.3M hadi 4M learners, lakini budget haija-keep up. Result?
  • Schools zingine zinafungwa mapema
  • Madeni yanaongezeka
  • Quality ya education inashuka
PS Bitok alikubali kuwa system iko strained, na bila clear policy ya how schools should cover the deficit, kila shule inaamua kivyake—na hapo ndio wazazi wanaumia zaidi.

Hii sio politics tu—ina-affect familia directly. Mzazi wa kawaida sasa analazimika kuchagua kati ya kulipa fees “hidden” ama mtoto kukosa masomo. Swali ni:
  • Serikali i-admit haiwezi sustain free education?
  • Ama wazazi waendelee kubeba mzigo kimya kimya?
“Free education” Kenya inaonekana imebaki kwa karatasi—but kwa ground, wazazi ndio wanachangia system isi-collapse.
Source:Citizen digital
 
Back
Top Bottom