AlP0L0
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 6,406
- 4,899
Kwa kumsaidia Kicheko, mkuu paje,hata mimi napingana nawe kwamba proxifier haiwezi kufanya kazi bila ya Guru kwa sababu nimejaribu kutafuta uhalali wa kauli ya DEVUQUARTER-DEVUKOTA kuwa hiyo software inaweza kutumika kivingine wakati wewe mletaji wa hiyo soft humu Jamvini unapinga hilo.
Ingawa sijajua DEVUQUARTER-DEVUKOTA anaitumia vipi ila kwa upande wangu nimeijaribu kwa proxy inapiga mzigo vizuri tu.
Ebu bofya hapo chini ujiridhishe.
https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/441323-proxifier-kwa-wale-wazee-wa-vichaka.html
hiyo ni kujichosha tu kaka, halafu ukishakufanya settings zako kama hizo, ingia yahoo au hotmail usome email zako.
website zinazohitaji javascript zote hazikubali...... nearly useless[/QUOTE]
Hacha kujibalaguza yakhe au siyo wewe uliyesema proxifier Bila Tunnel Guru haiendi?
Dogo keshakuvua taulo sasa upo uchi hapo tena mbele ya Mamamkwe teh teh teeh.
Hayo mengine sijui kujichosha sijui nini vile yametokea wapi tena mwanakwetu?[/QUOTE]
kweli jukwaa limevamiwa! nanona limegeuka uwanja wa mipasho, kila mtu anajifanya anjuwa, acheni hizoo. wajuzi wajukwaa hili wanajulikana na wana heshima yao mbele ya wataalam wenzao. wale newbie ndio mnaleta mipasho na zarau, acheni hizo sio sehemu yake hapa.