free internet :GURU INTERNET TUNNEL KWA KILA MEMBER WA JAMII FORUMS............

magnet:?xt=urn:btih:c2cb5a2768f762b49d8c077f5d32e87c972449c0&dn=nuance+dragon+naturallyspeaking+11+premium+english+by+adrian+dennis&tr=http%3A%2F%2Fmm.moonman.ws%2Fannounce.php&tr=udp%3A%2F%2Fopen.demonii.com%3A1337
 
Nyie ndio walewale, mnadhani vodacom wajinga hawawezi kufunga.. ngoja sasa tuifunge hiyo port mpate akili maana tumeiacha wazi muda mrefu sasa mnaanza kuifanya iwe ya kila mtu
 
Aaah mkuu, kwani wewe unaathirikaje na haya mambo? Hauoni ni faida kwa jukwaa linakua taamu na maujanja yanaongezeka!
 
Sasa wewe umefuata nini humu?
Wenye roho ya korosho hawatakiwi Krapka Davinoooooo!!!!
 
Nyie ndio walewale, mnadhani vodacom wajinga hawawezi kufunga.. ngoja sasa tuifunge hiyo port mpate akili maana tumeiacha wazi muda mrefu sasa mnaanza kuifanya iwe ya kila mtu

Kuna mijitu ina roho mbaya utadhani ilizaliwa kwa nanihii ? Au ndo nyie nyie mnaofikiria kutupandishia gharama za simu? Au jini wewe?
 
Kuna mijitu ina roho mbaya utadhani ilizaliwa kwa kupitia njia ya haja kubwa lol. Au ndo nyie nyie mnaofikiria kutupandishia gharama za simu? Au jini wewe?
bonge la tusi nadhani Ban ni haki yako
 
Aaah mkuu, kwani wewe unaathirikaje na haya mambo? Hauoni ni faida kwa jukwaa linakua taamu na maujanja yanaongezeka!

Maujanja ni muhimu kuongezeka ili na security izidi kua tyt ili mtafute njia nyingine za wizi, nazo tuzifunge afu mtafute tena, mwisho wa siku tutapata wataalam nchi hii ambao watakua safi sana kwenye security sector, ila mkipata moja tukaacha basi mtakaa na hiyo moja tu kichwani, kwa hiyo tutaita ushamba
 
Hamna haja ya kubana kwa maana hata kufikia hapa watu wameshaumiza kichwa vya kutosha hivyo acha watu wapumue bwana. Halafu sio vizuri kutangaza vita na wana Jukwaa wenzako.
 
naupenda sana huu usemi wa red.......
 
Mkuu nifundishe jinsi ya kutumia haya ma-link! Nikiyacopy na kupaste kwenye browser, IDM au? Asante sana

unaligonga tu hilo, au kitaalamu tuseme kubofya..... kama IDM yako imewekwa proxy 127.0.0.1 na port 6055 italikamata na kuanza kulidownload automatically.....
 
sio vodacom , sisi tunakula tigo kaka

.........a.k.a Kabaaaaaang!....................
jf-mrejesho.PNG
 
Back
Top Bottom