Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
thank yu
magnet:?xt=urn:btih:c2cb5a2768f762b49d8c077f5d32e87c972449c0&dn=nuance+dragon+naturallyspeaking+11+premium+english+by+adrian+dennis&tr=http%3A%2F%2Fmm.moonman.ws%2Fannounce.php&tr=udp%3A%2F%2Fopen.demonii.com%3A1337
Nyie ndio walewale, mnadhani vodacom wajinga hawawezi kufunga.. ngoja sasa tuifunge hiyo port mpate akili maana tumeiacha wazi muda mrefu sasa mnaanza kuifanya iwe ya kila mtu
Sasa wewe umefuata nini humu?Nyie ndio walewale, mnadhani vodacom wajinga hawawezi kufunga.. ngoja sasa tuifunge hiyo port mpate akili maana tumeiacha wazi muda mrefu sasa mnaanza kuifanya iwe ya kila mtu
na ile vampire diaries tayari
http://r5.btgate.info/core/outzip.php?did=e149362f5d0aad362069063b88b19e99
Duh hiyo lugha bana kina Boflo watakunukuu kivile (yale mambo ya Chapti kuchomwa kote kote):heh:sio vodacom , sisi tunakula tigo kaka
Nyie ndio walewale, mnadhani vodacom wajinga hawawezi kufunga.. ngoja sasa tuifunge hiyo port mpate akili maana tumeiacha wazi muda mrefu sasa mnaanza kuifanya iwe ya kila mtu
bonge la tusi nadhani Ban ni haki yakoKuna mijitu ina roho mbaya utadhani ilizaliwa kwa kupitia njia ya haja kubwa lol. Au ndo nyie nyie mnaofikiria kutupandishia gharama za simu? Au jini wewe?
bonge la tusi nadhani Ban ni haki yako
Aaah mkuu, kwani wewe unaathirikaje na haya mambo? Hauoni ni faida kwa jukwaa linakua taamu na maujanja yanaongezeka!
Hamna haja ya kubana kwa maana hata kufikia hapa watu wameshaumiza kichwa vya kutosha hivyo acha watu wapumue bwana. Halafu sio vizuri kutangaza vita na wana Jukwaa wenzako.Maujanja ni muhimu kuongezeka ili na security izidi kua tyt ili mtafute njia nyingine za wizi, nazo tuzifunge afu mtafute tena, mwisho wa siku tutapata wataalam nchi hii ambao watakua safi sana kwenye security sector, ila mkipata moja tukaacha basi mtakaa na hiyo moja tu kichwani, kwa hiyo tutaita ushamba
Mkuu nifundishe jinsi ya kutumia haya ma-link! Nikiyacopy na kupaste kwenye browser, IDM au? Asante sana