Free movement (Kulala bar, kwenda club, kudanga)

Wenye mko na mpango wa kuoa kuanzia mwakani, mnaitwa huku
 
Hizo ni picha tu mm nimecheki video za hao wadada ni shida tunawakat mgum sana huko tunakoelekea
Dah...wala siyo ishu kivilee...haya mambo yapo toka kitambo sana...tuliopita kwa Bibi tuliyafanya...Ni kwasababu ya furaha tu ikichangiwa na u foolish age...umri huo wengi hawajui maisha....wape mwaka mmoja tu...waonyeshe walichokifanya ... hata wao watashangaa...waacheni wafurahie...Ni wakati wao[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Musiangalie hilo swala kwa jicho moja ebu jalibuni kuangalia na kwa jicho LA tatu kwani kuna ujumbe Wa uhalisia wa maisha baada ya kumaliza masomo.
Hizo ni picha tu mm nimecheki video za hao wadada ni shida tunawakat mgum sana huko tunakoelekea
 
Afu hivi huwa ni kumbukumbu kuachana na umri fulani. Hapo hizo shati akija kukumbuka 10 to come ni very good memories.

Nakumbuka nilienda France [emoji632] 2008 tulikutana vijana zaidi ya nchi 20 duniani. Wakati wa kuagana unaweza nunua diary au t-shirt Afu unampa kila mtu aandike anacho taka. Ninayo diary yangu inanikumbusha mbali sana. Tuwaache wawe huru. Akija kitaa atachange tu. Hata huko club yawezekana akakuchukia kama kituo cha polisi. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Hayo mambo tuliyafanya tangu enzi za mwalimu. Sijaona Cha kushangaa hapo!
 
Haswa!!!
 
Fungeni waume zenyu kama, hivi vikiingia kitaa vinaharibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…