Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆😆, Nimemaanisha kuchora hivyo mashati. Hayo maneno mmh!Kumbe mmeanza kudanga enzi zz mwalimu
unaakili sana walahiDah...wala siyo ishu kivilee...haya mambo yapo toka kitambo sana...tuliopita kwa Bibi tuliyafanya...Ni kwasababu ya furaha tu ikichangiwa na u foolish age...umri huo wengi hawajui maisha....wape mwaka mmoja tu...waonyeshe walichokifanya ... hata wao watashangaa...waacheni wafurahie...Ni wakati wao[emoji23][emoji23][emoji23]
Dah...Kuna bweni moja shule fulani hivi..nilipata kibarua Cha kupiga rangi...nikaona chata " Mshana Jr kapita"Umeongea vyema sana, watu husahau tulipotoka nina uhakika wengi wanaoponda huku tukienda mabweni waliyosoma kama hayajapakwa rangi utakuta charter zao. CHIPETA, CHICO BOYS, BACTERIA, DULLAH BOY, MACHIZI, DAS EFX, NO SMOKING, MASELA, ETC[emoji23] [emoji23] [emoji23] kila jambo na wakati wao. Cha muhimu wasijeruhi mtu wala kuharibu mali ya shule.
Hongera kwa kurudi duniani kwa sasa ukiwa fara kama mimi, maana hatuzidiani lolote (uliekuwa Hitler na mimi niliekuwa teja[emoji16][emoji16][emoji16]Hapana. Mimi nilikuwa Hitler ujerumani.
🤣🤣🤣AiseeTulifanya hivyo tulivyomaliza class 7, wenyewe tuliita LY - Last year. Ilikuwa mwaka 1993, na tulivyomaliza form four tulifanya lkn hatukuandika matusi
Siku hizi mtoto wa jirani akikosea ukijipa jukumu la kumuadhibu wazazi wake wanakujia juu... Ila kwangu mie siangalii hilo anachezea tu bakora kama anafanya ujinga.Hao ni just the tip of an iceberg, malezi ya watoto waliozaliwa miaka ya Y2K yamekuwa sio mazuri maadili hayawi installed from tender age, kumkanya mtoto wa mtu mzazi wake anakujia juu haya sasa mzazi vuna ulichopanda, mwanao yupo eager kulala bar na kudanga
No watoto wanakuwa na kasi ya wakatiMiaka 20 ijayo itabidi tukakope Madaktari Cuba waje kutusaidia
Dah....bosi...kabla ya kurudi kama Teja.....ulikuwa nani? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hongera kwa kurudi duniani kwa sasa ukiwa fara kama mimi, maana hatuzidiani lolote (uliekuwa Hitler na mimi niliekuwa teja[emoji16][emoji16][emoji16]
Hizo ni picha tu mm nimecheki video za hao wadada ni shida tunawakat mgum sana huko tunakoelekea
“ I love pussy, but I like peace more . Peace is better than pussy” Chris Rock
HahahaHayo mambo tuliyafanya tangu enzi za mwalimu. Sijaona Cha kushangaa hapo!