Free movement (Kulala bar, kwenda club, kudanga)

Free movement (Kulala bar, kwenda club, kudanga)

Kuna dogo hapo highlights zake ziko on point sana:
1. Kulala bar
2. Kwenda club
3. Kudanga

Ndo kitu wadada wengi tu wanafanya vyuoni.
 
In our ages kuna njemba ziliandika kwa kinyesi kabisa! It is their time!
 
Watakaozaliwa mwaka 4k, kwa kweli watajionea mengi

#najuta kuwahi kuzaliwa mimi[emoji52]
 
Dah...wala siyo ishu kivilee...haya mambo yapo toka kitambo sana...tuliopita kwa Bibi tuliyafanya...Ni kwasababu ya furaha tu ikichangiwa na u foolish age...umri huo wengi hawajui maisha....wape mwaka mmoja tu...waonyeshe walichokifanya ... hata wao watashangaa...waacheni wafurahie...Ni wakati wao[emoji23][emoji23][emoji23]
Umeongea vyema sana, watu husahau tulipotoka nina uhakika wengi wanaoponda huku tukienda mabweni waliyosoma kama hayajapakwa rangi utakuta charter zao. CHIPETA, CHICO BOYS, BACTERIA, DULLAH BOY, MACHIZI, DAS EFX, NO SMOKING, MASELA, ETC[emoji23] [emoji23] [emoji23] kila jambo na wakati wao. Cha muhimu wasijeruhi mtu wala kuharibu mali ya shule.
 
Nakumbuka sisi enzi zetu za kayumba siku ya kumaliza mtihani mtapiga machata shule nzima tena kwa kutumia kinyesi cha binadamu, kazi wanayo wanaobakia kufanya usafi wa kututa kuta zilizojaa matusi na maneno ya shombo, utoto huo wakikua wataacha na watajiona kweli walikuwa wajinga
 
Back
Top Bottom