Free Sabaya

Wana CCM wenzako hawako na wewe,
Loser.
 
Wana CCM wenzako hawako na wewe,
Loser.
Halafu wewe ukisha kunywa mbege usilewe akili lewa mwili..msijioni nyie ndio wenye haki..walevi wa mbege nyie...mimi sinywagi mbege nakunywa damu.
 
Umeongea vizuri,ila hata kama ni kumsafisha haitakuwa kirahisi kihivyo,kuna mahali inawezekana kabisa ilibidi aende kinyume cha sheria ili kutimiza azma flani,lazima kufanyike uchunguzi wa kutosha ili kuweza kumnasua,vitu vingine kama ni kweli hakuwa na makosa Mungu yupo haki itatendeka tu...
 
Vijana wa CCM ni mazuzu sana, hii Nchi jumla ya wilaya hazifiki 150 Halafu eti Hai ilikuwa ya 200 kimapato?
Nyie mashoga wa Sabaya tulieni mtanyooka tu,huyo jambaz mwenzenu amebaki mifupa tu Na bado tunaye
 
Vijana wa CCM ni mazuzu sana, hii Nchi jumla ya wilaya hazifiki 150 Halafu eti Hai ilikuwa ya 200 kimapato?
Nyie mashoga wa Sabaya tulieni mtanyooka tu,huyo jambaz mwenzenu amebaki mifupa tu Na bado tunaye
Free Sabaya
 
7ya jambazi abaki jela kulipia uovu wake.
Wewe utakuwa mshirika mwenzie wa ujambazi.
 
Mzalendo anayekata masikio wabaya wake na wengine kuwagongelea misumari miguuni! Bora walinyonge tu.
 
Sabaya anatolewa kama sadaka ya urafiki baina ya watawala na wapinzani.

Hivyo wataendelea kumtesa mpaka nafsi zao ziridhike.
 
Siku hizi majambazi mnajiita wazalendo?
Pumba vu
 
Acha hawamu ipite hii Ila wasisahahu ipo siku wazalendo tutakaa pale juu na kamba itanyooshwa hadi msoga
Wazalendo ndio wapo ikulu sio majambazi mliojiita wazalendo.
Alafu msidhani mtatuletea wehu ikulu tena. Never again.
 
haya maoni yanafikirisha sana, kuna watu wanaomtafuta? je hili lilishawahi kuwekwa wazi ama mhusika kukiri kutishiwa maisha yake? tukiachana hilo, tukirudi kwa mhusika suala lake lipo kwenye vyombo vya sheria hivyo tuiachie mahakama itende haki kulingana na miongozo iliyopo
 
Wewe unapaswa kukamatwa nionyeshe sehemu inasema kupigania chama ni kuteka na kupiga Watanzania Wenzio acheni ujinga nyie watu...CCM sio chama cha kutesa watu...Chama Hiki ni kizuri nyie manyang'au ndio mmeharibu CCM ionekane chama cha majitu makatiri sio kweli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…